Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,309
- 2,568
Ni kweli.Ujue kunavitu vinakera Yani Mimi kwakweli hapana imeniuma sana mwanaume unamtesa moenzwako hadi anaona kuish ni mateso
Nah, professor Ali tuambia to focus kwenye kitu 1 ty🤣😂Mwanaume virgin hata hapendezii ..bora awe mtrundu tyuu😛!
Na una teseka vipi kiss mapenzi, akati movie. Magame na Misosi IPO🤣😂😂😂😂Ujue kunavitu vinakera Yani Mimi kwakweli hapana imeniuma sana mwanaume unamtesa moenzwako hadi anaona kuish ni mateso
Kweli kabisa Haina maana Na wanajifanya wajuaji kupenda wazima wazima Ndo wanateseka sie vichaa 😂😂😂@Antonnia sweetheart sweetheart Ndo nyingiNi kweli.
Huenda kuna alama anaonyeshwa ila yeye anang'ang'ana.
Aachike tu, dunia ni nzuri zaidi nje ya huyo anayemtesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamtesaje???? Wamezaa???😂😂😂Ujue kunavitu vinakera Yani Mimi kwakweli hapana imeniuma sana mwanaume unamtesa moenzwako hadi anaona kuish ni mateso
Misosi iyo ndo Sekta yangu pendwa Yani siku nikishindwa kula nikatibiwe na nilivo wa ovyo mtu akinizungua ndo nanenenepa sijui nimelogwa😂😂Na una teseka vipi kiss mapenzi, akati movie. Magame na Misosi IPO🤣😂
Hope u will do de same to me🤔🤗🤗Kweli kabisa Haina maana Na wanajifanya wajuaji kupenda wazima wazima Ndo wanateseka sie vichaa 😂😂😂@Antonnia sweetheart sweetheart Ndo nyingi
Wamezaa wakaoana badae ila ndo Ivo mambo hayaelewekiAnamtesaje???? Wamezaa???
Yaaani, you are the one😍😂🤣Misosi iyo ndo Sekta yangu pendwa Yani siku nikishindwa kula nikatibiwe na nilivo wa ovyo mtu akinizungua ndo nanenenepa sijui nimelogwa😂😂
Niseme tu hivi, sijui yajayo. Ila if it happens. Then ma woman is the special package to me🤗🤗Wamezaa wakaoana badae ila ndo Ivo mambo hayaeleweki
Dunia hii Ina wanaume wanajua kutesa wanawake zao Yani mtu haujifeel ukosingle Wala kwenye kuolewa haupo unaelea elea tuNiseme tu hivi, sijui yajayo. Ila if it happens. Then ma woman is the special package to me🤗🤗
Ni woga tu !!Nah, professor Ali tuambia to focus kwenye kitu 1 ty🤣😂
Ohooo hapo pagumu!!Wamezaa wakaoana badae ila ndo Ivo mambo hayaeleweki
Arrrgh SI Bora uwe mwenyewe tu Sasa🤣😂, mi napenda amani na utulivu🤗Dunia hii Ina wanaume wanajua kutesa wanawake zao Yani mtu haujifeel ukosingle Wala kwenye kuolewa haupo unaelea elea tu
Woga up, akati Nina marafiki wa kike lol🤣😂😂. Na Wala sinaga mzuka huo🤣Ni woga tu !!
Kuteseka kdg lazima kutatokea kama walikuwa na mipango and huenda kuna some sacrifices amezifanya tayari kwa ajili ya huyo mtu wake.Kweli kabisa Haina maana Na wanajifanya wajuaji kupenda wazima wazima Ndo wanateseka sie vichaa@Antonnia sweetheart sweetheart Ndo nyingi
Simama hapo pembeni kwanza ....Una maanisha nikaee, Asante 🙏😂🤣
Sawa dear uko vizuri Yan nimeumia utasema mm ndo mhusikaKuteseka kdg lazima kutatokea kama walikuwa na mipango and huenda kuna some sacrifices amezifanya tayari kwa ajili ya huyo mtu wake.
Lakini inabidi tu akubaliane na hali pale mambo yanapobadilika. Mungu anamuepusha na mabalaa mengi huko mbeleni yeye anang'ang'ana SHAURILAKE.
Wewe kama mshauri na mfariji kwa wakati huu fanya yafuatayo
1. Usiungane naye katika kumlaumu huyo mtu wake, hapo haponi zaidi anaongeza kidonda. Yaani hata msimzungumzie tuu, asiwe subject kiviile.
2. Mwongeleshe story zenye image mbaya za baadaye, yaani unamfanya anazivuta hizo image karibu, mfano. Imagine ndo wapo kwenye ndoa mwanaume anakuja na mwananke mwingine nyumbani, analewa, anamkata kata mapanga maana hampendi, anamkana hadharani kwamba yeye king'ang'anizi.. make sure anavuta hiyo picha kama vile yanatokea now.
3. Mwongeleshe story zenye positives images without him, kumbe alikuwa anaenda kukutana na mwanaume mwingine mzuri, atakayempenda na kumheshimu, mwenye mali.., hakikisha una picha picha nyingi za kuangalia naye, hakikisha anavuta picha ndo kashapata handsome amempeleka Zanzibar huko, Serengeti analisha twiga, Dubai nk nk...
4. Toka naye out, mnunulie hata zawadi ndogo tu, piteni mcity pale muangalie movie, mpitishe mle ndani afanye window shopping huku akipita mkaka mzuri mzuri uwe unasifia, atajikuta nayeye anaanza kufunguka macho kuona nje..
Notes zingine kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu tutakula nini??? Ye mwenyewe kawasha yake huko alipo.😵😵