Wala hamna kiukweli ndoa sihitaji mwenyew lakin kuhusu waoaji aisee wakutosha Hadi naona ninakoenda nitapat laan za kukataa wanaume dearPoleee mdogo wangu sema nini... usilie kwa sauti banaa unaniangusha ujue!!
Napika nyumbani Kwa mama Kuna dadaangu Huwa nampelekea chakula anashinda dukani ndo akawa ananisifiaUmeanza kuwapikia lini na leo unalalamika nini hapo??
Huwajui hawa viumbe wewe!!!
Anyways maisha ndio hayahayaaa!!
Acha tuishi humohumoo!
Kama hivo ni jambo jema na Inapendeza sana!Wala hamna kiukweli ndoa sihitaji mwenyew lakin kuhusu waoaji aisee wakutosha Hadi naona ninakoenda nitapat laan za kukataa wanaume dear
Ahaa hapo nimeelewa!!Napika nyumbani Kwa mama Kuna dadaangu Huwa nampelekea chakula anashinda dukani ndo akawa ananisifia
Kila kitu kina muda. Usifanye Jambo kisa kuwa lizisha wengine💪Naelewa
Ila shem sijawahi tamani harusi eti nipigie picha watu wanione ndoa sio rahisi ngoja ningoje mda nitaokuwa tayari sahiz hapana
Shida fuvu lako zito😂🤣Ahaa hapo nimeelewa!!
Kwakweli Mie nishakubuhuuuu katu sipelekeshwi na mapenzi tena😁😊!
Sina huo mpango Wala sitak ushauri 😀Besty nakwambia tena nisikilize vizuri, uzabzab wangu weka pembeni.
Hamna mzazi anapenda kuona binti yake yupo yupo tuu maana anajua tuu kuwa huyu anapelekewa moto tuu. Unauma sana.
Wee njoo bwana nikuoe mie tena mie wala sina mambo mengi 😝
Umesahau ni Fuvu chogo na komwe😊!Shida fuvu lako zito😂🤣
Baby😂🤣🤣🤣, pika ukapikike😂🤣Napika nyumbani Kwa mama Kuna dadaangu Huwa nampelekea chakula anashinda dukani ndo akawa ananisifia
Kmmk😂🤣🤣🤣, we wako SI bichwa komwe🤔🙄Besty nakwambia tena nisikilize vizuri, uzabzab wangu weka pembeni.
Hamna mzazi anapenda kuona binti yake yupo yupo tuu maana anajua tuu kuwa huyu anapelekewa moto tuu. Unauma sana.
Wee njoo bwana nikuoe mie tena mie wala sina mambo mengi 😝
Inaelekea wamekutesa sana umekuwa gaid sikuhiziKwakweli Mie nishakubuhuuuu katu sipelekeshwi na mapenzi tena😁😊!
Kuna vya kunichanganya ila sio Mapenzi!
Point!!!Kila kitu kina muda. Usifanye Jambo kisa kuwa lizisha wengine💪
Basi mi chiziii ake😂🤣🤣Umesahau ni Fuvu chogo na komwe😊!
Mie kilazaa!;
😂😂😂😂Baby😂🤣🤣🤣, pika ukapikike😂🤣
Good thing about you unajua namna ya kupenda..Kwakweli Mie nishakubuhuuuu katu sipelekeshwi na mapenzi tena[emoji16][emoji4]!
Kwani natemaga utumbo🤣😂Point!!!
😇 Kuna theory moja huwa inaonekana kabisaaa na watu huwa hawaitilii maanani.Kabisa
Hi kauli imekaa kichawi chawi🤣😂Sina huo mpango Wala sitak ushauri 😀
Kwakweli ninawapenzwangu 8 wanatosha napumzika vya kutosha😂😂😂😂Kila kitu kina muda. Usifanye Jambo kisa kuwa lizisha wengine💪