Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Ngoja mwakani, Kama TULIVYO kubaliana mwezi wa 12 ππ€£Kabisa ni uhakikaππ
Kwakweli nashukuru Mungu nafikiri ilo linanifanya nimekuwa na amani sikuzoteHakika ukiwa na mtazamo huo hautayumbishwa. Watu wanapenda tulio la harusi lakini sio Ndoa π
Hakika Subra ndio kitu cha msingiπKwakweli nashukuru Mungu nafikiri ilo linanifanya nimekuwa na amani sikuzote
Kuishi kuyalalamikia mapenzi ni kujionfozhea baraka za Allah kukupa mtu sahihi kilakitu kinahitaji subra
KabisaHakika Subra ndio kitu cha msingiπ
Kwanza ukiwa na subra utajifunza na kujionea mambo mengi ambayo yatakufanyq uboreshe maisha yako. π
Hakika Subra ndio kitu cha msingi[emoji4]
Kwanza ukiwa na subra utajifunza na kujionea mambo mengi ambayo yatakufanyq uboreshe maisha yako. [emoji120]
Mgeni Mimi: madam kwani mizigo yangu uli iweka wapi??
Kwakweli nashukuru Mungu nafikiri ilo linanifanya nimekuwa na amani sikuzote
Kuishi kuyalalamikia mapenzi ni kujiondoshea baraka za Allah kukupa mtu sahihi kilakitu kinahitaji subra
πππHebu niache tuongee mipango ya helaNgoja mwakani, Kama TULIVYO kubaliana mwezi wa 12 ππ€£
Acha wehu, mtu ana shauriwa Jambo jemaπ€Una lako jambo ww
naijua hyo [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Acha wehu, mtu ana shauriwa Jambo jema[emoji848]
Nahh babyπππ€£π€£πππHebu niache tuongee mipango ya hela
Mi mganga mkuuππ€£π€£, uta ona shuka za mizimuπSelfika huko kijana leo nipo na ww tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NaelewaShem kama shem mapenzi bila misukosuko,kugombana,kununiana,hayo siyo mapenzi
Mi mganga mkuu[emoji23][emoji1787][emoji1787], uta ona shuka za mizimu[emoji23]
Naelewa
Ila shem sijawahi tamani harusi eti nipigie picha watu wanione ndoa sio rahisi ngoja ningoje mda nitaokuwa tayari sahiz hapana
Poleee mdogo wangu sema nini... usilie kwa sauti banaa unaniangusha ujue!!Naelewa
Ila shem sijawahi tamani harusi eti nipigie picha watu wanione ndoa sio rahisi ngoja ningoje mda nitaokuwa tayari sahiz hapana
Unataka awe gaidi gaidi kama wewe [emoji23]Poleee mdogo wangu sema nini... usilie kwa sauti banaa unaniangusha ujue!!
Besty nakwambia tena nisikilize vizuri, uzabzab wangu weka pembeni.Hii wiki tangu imeanza sielew mama kilasiku mawaidha ya ndoa sijui kuolewa π
Kuna mamaangu wa hiyari Jana kanambia ndoayangu anatak ifungwe kwake πNa wakat sijatambulisha mtu nimeishia kucheka tu
Last week wifi zangu wameanza kunisifia bila za msingi
Nikija jf ndoa@manyanza mzabzab wamenikalia kooni
Mwingine huyu nikipika tu anaanza madarasa yakeπππView attachment 2661111
Umeanza kuwapikia lini na leo unalalamika nini hapo??Hii wiki tangu imeanza sielew mama kilasiku mawaidha ya ndoa sijui kuolewa π
Kuna mamaangu wa hiyari Jana kanambia ndoayangu anatak ifungwe kwake πNa wakat sijatambulisha mtu nimeishia kucheka tu
Last week wifi zangu wameanza kunisifia bila za msingi
Nikija jf ndoa@manyanza mzabzab wamenikalia kooni
Mwingine huyu nikipika tu anaanza madarasa yakeπππView attachment 2661111