Selfika na JF: Snap it. Show it

Kiukweli sikuhiz watu kama wamerogwa😀😀😀Mimi siwez kujichanganya kaka always naamini kwenye true love na ninapenda hasa so kunamda narelax siwez mpenda asienipenda ni kujipotezea muda
Hakika ukiwa na mtazamo huo hautayumbishwa. Watu wanapenda tukio la harusi lakini sio maisha ya Ndoa. Maana kwenye maisha ya Ndoa kuna changamoto sana. Na kama ulijichanganya kukimbilia harusi cha moto utakikuta kwenye ndoa 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…