[emoji119][emoji119][emoji119]Si Mimi huyo Jamani [emoji23][emoji23]ninamuda sijafanikiwa kushika paja la mtu
We kimoda, kikaragosi Hebu tulia usim spoil na Kum mislead mrembo wangu๐๐คฃ๐คฃhali ni tete๐ฌ
angalia usije ukajimenya mkuu....
๐๐Hamna Jin's watu wanaficha mapajayao ๐hali ni tete๐ฌ
angalia usije ukajimenya mkuu....
Who told you??Hao waliovesha sahiz hawaongeleshani hebu niache [emoji3]
Una tofauti gani na @mshamba_hachekwi,๐ค๐๐คฃ๐คฃHao waliovesha sahiz hawaongeleshani hebu niache ๐
Haha nitajaribu mwakani nimepata mchumba bhana kasema mwakani ila bhana anaongea kiingereza balaa mm na kidhungu wap na wapi nishagalhairi kwanza ๐๐
Acha Nika angalie interview ya jack ma, Kama NILIVYO shauriwa na mshamba_hachekwi coz Jamaa alikataliwa zaidi ya Mara 21๐cocastic anakwambia Haiombwi hivoo kichaaa akee ! Less wordssssssssss๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ
๐ผ๐ถ
(Maneno mengii story nyingiii unamkeraaaa) ๐ต๐ต!
(Mi naimba tuu kichaaa akee)๐๐
Gud luck๐ช,Haha nitajaribu mwakani nimepata mchumba bhana kasema mwakani ila bhana anaongea kiingereza balaa mm na kidhungu wap na wapi nishagalhairi kwanza ๐๐
dalili nzuri hii inaonyesha ana mahelaanaongea kiingereza balaa
hii umeandika kwa hisia sanaGud luck๐ช,
Oyaaa Intelligent businessmanHaha nitajaribu mwakani nimepata mchumba bhana kasema mwakani ila bhana anaongea kiingereza balaa mm na kidhungu wap na wapi nishagalhairi kwanza [emoji23][emoji23]
Nimechukua hisia za mashairi ya William sharkspear๐คฃ๐๐๐hii umeandika kwa hisia sana
Sio fuvu, sema komweee๐คฃ๐๐Nikapumzishe fuvu langu sasa kwareo inatosha!!๐ค๐ค๐ด!
Nasubiri SAA nne cocastic afanye Jambo.Nikapumzishe fuvu langu sasa kwareo inatosha!![emoji99][emoji99][emoji42]!
Awe na Hela wapi watu wasiosoma alafu ajue kuongea kiingereza mbona utakoma wasomi hawanaga hizo ๐๐๐dalili nzuri hii inaonyesha ana mahela
Mhh nanjilinjii na kizungu wapi na wapi๐ค๐คฃ๐๐ mshamba_hachekwi huyoo๐คฃ๐
๐๐๐Nawatania bhana