Tatizo lako Wewe unapenda kusikia, kupokeq Habari unazozipenda wewe tu. Na ndio maana unajikuta unashuka sana Moyo. Elewa kwenye mabaya ndio kwenye mazuri.

Usipendelee kusikia Yale unayoyata Wewe mwenyewe. Ili ukomae Kihisia na Kiakili ni lazima mambo yote uwe tayari kuyasikia na kuyapitia ๐๐๐
Miss Tins