Selfika na JF: Snap it. Show it

😅😅😅😅😅😅😅

Yuko sahihi kabisa, ambazo ni medium binafsi huwa zinanikosesha raha kimtindo maana nakua sijielewi elewi.

Vaa hata nyumbani uzoee basi!!!!!!
Mwee
Ushamba mzigo😂
Mm ninazo ambazo hazipo juu ya goti wala hazifiki mguuni


Huwa navaa nyumbani,najiangalia wee naona nimependeza
Ila tege sasa😆
Nilivaa kamoja last weekend nilikuwa na appointment na mzungu mmoja,,angalau nilipendezapo..ila nivyotoka nikafunga mtandio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…