Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio aiseee why not
Week mbili kama mmekuwa kaka na dada

Muenjoy wakati penzi liko la moto sio baade huko hauna memories zozote za mpenzi wako .

Kweli kabisaa. Umri ukiwa umeenda Kama huu wetu Yani mwezi unapita bila bila. Normal kabisaaa.

Vijana wakina cocastic tumieni ujana vyedi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisaa. Umri ukiwa umeenda Kama huu wetu Yani mwezi unapita bila bila. Normal kabisaaa.

Vijana wakina cocastic tumieni ujana vyedi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umri hauchagui hujui nyie wazee ndo mpo romantic kuliko vijana .

Ni muhimu sana kurevive mahusiano yenu kila mara yani ndo muwe ndo kama mmekutana leo .

Upendo tu uzidi siku zote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…