Selfika na JF: Snap it. Show it

Antonnia

Shogaree ako ndani ya simple pouzzz, na mikato Fulani ya kushtua.

Nawee uwe unapiga swaggzzz km hivi, unyama mwingiii.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2660013
Umenougaaaa baraaaaaa 😍😍😍😍 Umependezaajee udugu akeeeee ...

Mie sinaa miparoooo udugu akeeeee zahuku nyakibooo sasa😊

Pouzzz kareeeee kishenzzzz

Nouggaaa sannnaaaa🤩🤩🤩💋😘!!

Wabheja sana kipenzi hakika usiku Wangu unaenda kuwa furrreeeeesssshhhhhh😴😴😴😴😴 kabesaaa!!
 
Long distance ngumu
Kamaa vipi abaki hapa mjini tu .
Kulinda penzi .

Sikutaka mahusiano chuo kisa hichi , mkimaliza kila mtu kwao .
Kweli kabisaa dear, mahusiano ya chuo ni shida, mkimaliza kila mtu kwao, labda kuwe na mipango endelevu, lakini pia uaminifuu mmmh

Hatarii tupuu
 
Kweli kabisaa dear, mahusiano ya chuo ni shida, mkimaliza kila mtu kwao, labda kuwe na mipango endelevu, lakini pia uaminifuu mmmh

Hatarii tupuu
Yes dear
Inahitaji uvumilivu wa haja sema hakuna kigumu chini ya jua .

Na pia mwanaume hapo ndo anajipanga ili muweze kuwa pamojw .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ufanye ukuje huku town, nikupee mikatoo ya ukweliiiii

Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Yes dear
Inahitaji uvumilivu wa haja sema hakuna kigumu chini ya jua .

Na pia mwanaume hapo ndo anajipanga ili muweze kuwa pamojw .
Mmmmmh mapenzi ya mbali yanakua uongo sometimes, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…