Selfika na JF: Snap it. Show it

Santrooo sana udugu akeeeee nitakua makini sana kuzingatia mudaaa navenye nimemiss kigodoro auweeeee 4 kamili nipo hapaaa!!

Ya wajaaa ni kuwaachia wenyewe hata wasiniumize kichwa shougaaangu!!
 
Ah yaani huko kwenu kuna fursa unaweza bahatika kweli
Ukawa intern unapokea benefits nzuri tu .

Omba tu Mungu , waweza pata sehemu nzuri kwa ajili ya career yako
Ahsanteee sana dear
Ubarikiwe mnooo
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwa hiyo tusubiri paka SAA nne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Santrooo sana udugu akeeeee nitakua makini sana kuzingatia mudaaa navenye nimemiss kigodoro auweeeee 4 kamili nipo hapaaa!!

Ya wajaaa ni kuwaachia wenyewe hata wasiniumize kichwa shougaaangu!!
Afu sio shida zetu sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]r
Woyooooooooooooooooooh!!!

Kujikubaliii rahaaa sanaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…