Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,775
Asante bossπKaribu sana Atown madam
Leo cocaMama mchungajii, uko A town umeenda lini??
Ukirudi unibebee zawadii [emoji8][emoji8][emoji8]Leo coca
Wasamiliee sana machalii ya hukooo!!!Niko kwenye baridi A-town
Home kweaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Home kweaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna kwenye uzi wa Songea hauonekaniii? Walongo tuko winja winjaaa hatariiiii.
Uje utoe shuhudaa zako.
Amina San 15πππHappy birthday Mkuu..
Kumbe ndo uko handsome hivi!
Unatimiza miaka mingapi?
Bwana na azidi kukubarikia.
Asante sanHBD kijanaπ
Asante sana kkaMaisha marefu Mkuu Mwachiluwi , Allah akulinde na akutunze sana uwe na miaka mingi kama namba za vocha πΎπ₯πππππππ―οΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakuja Bestie tuliaaaaa. patakuwa kama DBX huko mbeleni π[emoji123]
Bado upo bushi?Asante san
Ndio mkuu hapa na pata break naingia mzigoni tenaBado upo bushi?
Mic u mnoo shogareeee akee [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Enjoy your evening wapendwa![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Safi, piga kazi!Ndio mkuu hapa na pata break naingia mzigoni tena