Pep kama pepπHuyo Pep umemtoa wapi?π
Si yupo huko mjini Manchester jamani.
Ntakupigia nikuambie.
Usiku utakuwa na muda??
Mida ya saa3 hivi.
Au nikupigie Sasahivi tuπPep kama pepπ
Karibu mdogo wangu we nipigie tu naamini nitakua macho muda huo
Na mimi nimeshangaa Mkuu,nakuwaje mkewe wakati yupo duniani huko,afu mimi nipo Nanjilinji ndanindani huku.Pep si kocha city a.k.a citizenπ€£π
Nipigie tu mama mchungaji anytimeAu nikupigie Sasahivi tuπ
Huyo Pep namuona tu alivyoipa Manchester vikombe vya kutoshaπ,ndo huyo unayemsema?
Kuna pep alaf kuna pep wa mdogo wangu Saint AnnePep si kocha city a.k.a citizenπ€£π
Afu una waambia utawa bembeleza walaleπ€π€ AaliyyahNilikuwa nasalimiana na majirani π
mshamba_hachekwi, njoo uone nimepata jirani nanjilinjii πππNa mimi nimeshangaa Mkuu,nakuwaje mkewe wakati yupo duniani huko,afu mimi nipo Nanjilinji ndanindani huku.
usinisumbue dogo nazima moto ujueπ CA hazifai 0 kaa zote...mshamba_hachekwi, njoo uone nimepata jirani nanjilinjii πππ
We SI ulisema una piga mishe za pesa ndefuuπ€π€£ππ,usinisumbue dogo nazima moto ujueπ CA hazifai 0 kaa zote...
nauza mihogo huku chuoniπWe SI ulisema una piga mishe za pesa ndefuuπ€π€£ππ,
πAu professor ana Tunga ca bila kuvaa nguoππ€£
I just nailed yahπ€£π, endelea kupiga mishe za mabilioni mshamba_hachekwi .nauza mihogo huku chuoniπ
Vipi Tena mwana cityππ€£π€£Dah π
Waacheni kina Melo jamani, wanataka wote mhamie kwenye web!πππUlipost?
Kama ulipost basi niliingia kwa kutumia liapp libovubovu la kina Melo,halionyeshi picha.
Leo nimetumia browser
Ngoja nipande Mlima,japo kupanda kwa Browser ni changamoto kwangu.
Af kweli, maana angekua kwenye gari yake haya yote yasingetokea
Depal unataka gari gani eti
HBD kijanaπHappy birthday to me Mwachiluwi
πππ
Bora I we hivyo, Mana una waza kula nauli tuππͺ Aaliyyah,πππ