Selfika na JF: Snap it. Show it

Daahh..dogo pole saña dear Mpk umetukanaa
Hawa wezi wa kwenye boda nuksiii...mi nishakoswakoswa wakatukana bonge la tusiii
Nasikiaga tu story zao hao 3 mzuka.. leo sasa uso kwa uso 😂😂

Mwaka wa 4 huu mjini af wao wanataka kufanya niichukie Arusha. Mbwa kabisa haya machalii un educated!!.
Ndio maana watu wa Dar wanayaambia yanatatuliwa rinda na wazungu sbb ni kama hizi 🤣🤣🤣

Nirudi kwenye hiace/ indrive gari. Boda za jioni mie basiiiii
 
Uwiii ingeenda tena na leo aki ningekushauri tu urudi kwenye tecno🤣🤣

Aisee pole sana, me ningekua natetemeka hadi muda huu maana experience ya wezi ni balaa.

Ila hao boda boda vibaka wanafanya bodaboda wote waonekane wahuni
 
Pole sana Miss Depal naona maeneo ya Mwananyamala wanafanya mpaka practical jinsi ya kupora maana wanakuwa watatu halafu wana practice 😑😑😑
 
😂😂😂😂 Watu wa pande hizo wana tamaa sana kipindi fulani nilikuwa Zanzibar kuna Mmasai alitatuliwa na Waitaliano na Nnyaa kibao baada ya kuishobokea 100 dola mpaka alikufa.
 
Polesana
 
Dada Deborah wa form 4 liva, mbona Kama umetusema sisi ma un educated😂😂
 
Uwiii ingeenda tena na leo aki ningekushauri tu urudi kwenye tecno🤣🤣

Aisee pole sana, me ningekua natetemeka hadi muda huu maana experience ya wezi ni balaa.

Ila hao boda boda vibaka wanafanya bodaboda wote waonekane wahuni
Hapo ndo wanaume waelewe mtu akisema ana boda boda wake. Hizi mambo za kuokoteza boda ndio siku unaweza okota boda mwizi.

Nina marafiki mko na hela 🤣 mngenipa tu nirudi hata kwa ka Xs aisee

Yan sikuwazia simu kabisa wala wallet.. nilikuwa nawazia funguo. Mkoba ulikuwa na funguo za sehemu konkiii mno kuliko hata vikaki kaki vilivyokuwa kwa wallet.
 
Hatari sana yaani Upambavu hauna bei na hapo wanakuwa wametoka kuvuta bangi na mazungumzo yao sasa hivi ni mkataba wa Bandari utadhani hata zile boti za Azam kwenda Zanzibar wameshawahi kupanda. 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hatari sana yaani Upambavu hauna bei na hapo wanakuwa wametoka kuvuta bangi na mazungumzo yao sasa hivi ni mkataba wa Bandari utadhani hata zile boti za Azam kwenda Zanzibar wameshawahi kupanda. 😂
Ila vibaka bana 🤣🤣
Na Mwananyamala wamejaa kama wote
 
😂😂😂😂 Watu wa pande hizo wana tamaa sana kipindi fulani nilikuwa Zanzibar kuna Mmasai alitatuliwa na Waitaliano na Nnyaa kibao baada ya kuishobokea 100 dola mpaka alikufa.
Dola mia ya laki 2!! Unakuja kufa?? Ona sasa
Angeenda site saidia fundi si mwezi tu ako na hizo laki 2 zake akazibadili ziwe dollar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…