Huyu Antonnia hashindwi ku nizoomia kwenye tinted.Wapi tena huko? Haya Chino mrembo wako huyo anakuja huko uliko. Kaa mkao wa kula. Usije kulalamika tena hapa. Bahati haiji mara mbili...
Ila JF hatari. Kwahiyo pm huko huwa mnatongozana na vidume wenye ndevu kama nyinyi? 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa hivi na mzee mwenzangu wa hall 5 mr sumbai tutakua makini mno kwenye uchakataji wa data
Mkuu hii ni seedbox?Life could be dream [emoji41][emoji41]View attachment 2656355
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Shame darling una ngozi tamu!!
Cheka utanue mapafu dear jf never boring!!!Ila JF hatari. Kwahiyo pm huko huwa mnatongozana na vidume wenye ndevu kama nyinyi? 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usiku mwema wapendwa, ngoja nikachekee sehemu mimi.
Enjoy ur night mnywaniCheka utanue mapafu dear jf never boring!!!
Kesho nayo ni siku wapendwaaa 😘✌️✌️✌️✌️
Aisee, walikuwa Wana nipepea😂🤣, Mana nilizimia Baada ya kuona emoji hiyo😂😂🤣 AaliyyahThank you
I miss you too😍
Aisee wageni tuta andamana hadi kwa Raisi, maana hapa ni kutufukuza kwa vitendo😂🤣🤣
Exactly ni seedbox hio mkuu, unalipia au umehost mwenyewe?
Nimehost mwenyeweExactly ni seedbox hio mkuu, unalipia au umehost mwenyewe?
Naona speed iko poa, nimependa UI yake nita host server ninayo, mi natumia transmission, utorrent nimeikubali salute mkuu.
Seeders wengi mzee,, afu hapa mtandao uko fastaNaona speed iko poa, nimependa UI yake nita host server ninayo, mi natumia transmission, utorrent nimeikubali salute mkuu.
🤣🤣🤣Aisee, walikuwa Wana nipepea😂🤣, Mana nilizimia Baada ya kuona emoji hiyo😂😂🤣 Aaliyyah
View attachment 2656457
Ndio raha yake, kama server ina 1gbps hata seeder wakiwa wa 5 mzigo unatembea chap sana.
Kuna ka nafasi ketu, pale mlangoni au ukutani😂🤣🤣 Aaliyyah
Kmmk, Jana nimekutag uko wapi mjuba. Afu leo una kuja kiboya🤔
niko bize dogo pesa inatafutwa😂Kmmk, Jana nimekutag uko wapi mjuba. Afu leo una kuja kiboya🤔