Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha Chino alikua bize anashangaa vitu vingine vizuri zaidi kuliko hata nywele mnywani
Hahahaaa...Akili zako sasa mnywanii akee lol!!!
Ulikua bize kuangalia komwe na chogo 🀣🀣🀣🀣🀣!
 
hahaha! Hapa nimejiridhisha hakuna ndevu!

Sasaivi naogopa kupigwaa.


Kupigwaaaa basi
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Nacheka kama mazuri nyieeeeeee
Bantu Lady kumbe mnyama mkaree nae alinusurekaaaaa 🀣🀣🀣🀣😊😊😊!!

Pole sana mnywanii hahaha ajaree kaziniiiπŸ˜‚
 
Nimekusubiria wee uniletee huyu mchuchu nikae nae hata TTG korogwe pale umeniangusha mbantu
πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ naonewa miye hata hajaniambia alipo ujue. Anarukaruka kama maharage ya ukweni. Alisema kusafiri bado. Kumbe kishafika huko? Sina habari Chino ake
 
Wanasema uzuri wa mtu, uko machoni kwa mtu. Usilinganishe na mtu. Kila mwanamke ana uzuri wake wa kipekee. Hakunaga mwanamke mbaya wote ni wazuri kwa vile utakavyomuona.
cc Kapachino
Hili toto mbantu Ni lizuri!

Kuna visu ukiviona first sight tu Unajua hiki chuma

Ayo ya machoni mwa mwatu Ni defending mechanism tu hahaha!! Li tonnia Ni lizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…