Selfika na JF: Snap it. Show it


Mwenyezi Mungu anijaalie msimamo wangu uwe huu huu siku zote,miaka yote hadi nitakapoacha kutumia hii JF

Tatizo la humu unaweza kukutana na lets say ID ya Sakayo Watu8 Karma Depal Hawachi labda na Khantwe

Sasa unakuja kushangaa anayekuja kukuexpose jukwaani ni ID mpya kabisaaaa tofauti na hizo sita ulizowahi kumeet nazo....hapo ndio unapata kizunguzungu unaanza kubet sijui nani kati ya hao atakuwa kanianika?!!😂😂😂😂😂

Sasa why upate shida zote hizo?
 
Hahahah....nimecheka hadi watu wananishangaa

 
Ofcourse kuna mkaka mmoja nilikuwaga namuelewa kuanzia tuko form three hadi tunamaliza form six,, halafu nilikuwaga sina hata story naye nilikuwa namuonea aibu
wakati miaka yote hiyo minne hatujawahi kusoma madarasa tofauti yaani tulijikuta tunasoma darasa moja hadi tunamaliza..

Na alikuwa back bencher wakati mie nilikuwa front bencher basi alikuwa akija mbele kuniongelesha nilikuwa nahisi kama kamoyo kameruka mapigo kadhaa,, ilikuwaga ni siri yangu ila kuna siku nilijisahau nikawaambia marafiki zangu bwenini nikaja kushituka taarifa zimesambaa
nikawa nawaza sijui atakuwa kajua..

Lakini hatukuwahi kuambiana chochote,, zaidi ya kuishia kupiga tu story za kawaida za hapa na pale..

Utoto bwana,, siku hizi namuona tu instagram amekuwa a fine young lad not a boy anymore..
Kwa hiyo ulikua na back bencher wako mmoja uliemwelewa sio?
 
Unajuwa we can't trick our very own shadows...just be real na watu wataotaka associate nawe watakuwa real

Sasa we unajitangaza wapenda maisha fulani, wataokuandama si watakuwa hao hao wanaopenda maisha unayotangaza...
Tuulize sisi mke kila aina inakujia hapo inatakiwa akili kichwani kutambua sio aina ya maisha unayoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…