Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,248
- 37,535
Ulikuwa unahangaikia wapi tena? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Next time [emoji12]
Nipo kwa lishangazi hapa baadae shem
Ulikuwa unahangaikia wapi tena? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Next time [emoji12]
Li mbantu lizuri!! Mnywani. Lina baby face ya namba E.Umeona eeehhh...toto linashikikia 1-5 Alooooooohh 🕺🕺🕺🕺🕺🕺!!
Umeona....Trotrooo jeupeeeeeehh!!Li mbantu lizuri!! Mnywani. Lina baby face ya namba E.
Ni lizuri mno we litoto.Asante mrembo wangu Tonnia 😘😘😘
Chino Chino weeee 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️Li mbantu lizuri!! Mnywani. Lina baby face ya namba E.
Chino ningempa hat trick ya haraka Sana Kama wapemba then najua mali yangu hapa Ni secured.Umeona....Trotrooo jeupeeeeeehh!!
Saa ningekuwa na wa5 roho yako kwatu Chino 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chino ningempa hat trick ya haraka Sana Kama wapemba then najua mali yangu hapa Ni secured.
🤣🤣🤣🤣! Ungechukua chako mapemaaaa ausio 😁😁!!Chino ningempa hat trick ya haraka Sana Kama wapemba then najua mali yangu hapa Ni secured.
Chino Chino weeee 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Ningekua najisemea huyu Hana mwendo! Lazima atulie tu tulee watoto.Saa ningekuwa na wa5 roho yako kwatu Chino 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asante Chino wetu 😘😘😘😘Ni lizuri na infact Udenda unatutoka Sana
Pamoja na kushusha ila bado Ni visu tu gademmm! Ni konyo nyie cc Bantu Lady🤣🤣🤣🤣! Ungechukua chako mapemaaaa ausio 😁😁!!
Tunashukuru Chino 🙏😘Pamoja na kushusha ila bado Ni visu tu gademmm! Ni konyo nyie cc Bantu Lady
Mkuu samahan hilo neno mnywani lina maana gani 😁Ni lizuri mno we litoto.
Mbantyuu Noumaaa nanusuuuu Chinoo 🕺🕺!Pamoja na kushusha ila bado Ni visu tu gademmm! Ni konyo nyie cc Bantu Lady
Nimedandia gari .... Maana yake Rafiki..!!Mkuu samahan hilo neno mnywani lina maana gani 😁
Ni kihaya_ likiwa na maana ya 'rafiki'Mkuu samahan hilo neno mnywani lina maana gani 😁