Tinde Ni shinyanga_ pale mizani Ni njia panda ya kuelekea kahama_na shinyanga mjini.Tinder si tabora mkuu??
Amefanyeje kwani??? Amemsaliti nani kichaaa akee nawee?? Hebu acha fujoo zakooo!!Huyo Mwachiluwi ni msalitk mkubwa, alikuwa team jf usiku wa manane.
👉Tukiwa Mimi intelli, Dahan, Analyse, Half american, Bantu Lady, na dogo aliye maliza form 4 mwaka Jana mshamba_hachekwi 😂🤣
Nobody to malice.I mean no malice to nobody,
Yeah uko sawa, nilipita hukoo.Tinde Ni shinyanga_ pale mizani Ni njia panda ya kuelekea kahama_na shinyanga mjini.
Japo unaweza dhani Ni tabora pia maana tokea nzega_tabora) mpaka tinde Ni kama dk 20 tu kwa gari.
Huu mchezo haunga hasiraa 😂😂Nobody to malice.
Usijari kabisa🤗Asantreeeeeeeeehhh!! Nasubiriaa hapaa best akeee!!🙇🙇
Mwachiluwi ni msaliti na mkimbizi kutoka team jf usiku wa manane 🙄Amefanyeje kwani??? Amemsaliti nani kichaaa akee nawee?? Hebu acha fujoo zakooo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachomoka m1 m1, na wanaliwa vichwaaa.Huu mchezo haunga hasiraa [emoji23][emoji23]
Ahahah kule kumeingiliwa sasaiv watu wenye mnalal kama kuku anaeumwa kibuduHuyo Mwachiluwi ni msalitk mkubwa, alikuwa team jf usiku wa manane.
👉Tukiwa Mimi intelli, Dahan, Analyse, Half american, Bantu Lady, na dogo aliye maliza form 4 mwaka Jana mshamba_hachekwi 😂🤣
Roho begani panga mkononi au????😊Huu mchezo haunga hasiraa 😂😂
Hahaha alikua mawindoni eh?Huyo Mwachiluwi ni msalitk mkubwa, alikuwa team jf usiku wa manane.
👉Tukiwa Mimi intelli, Dahan, Analyse, Half american, Bantu Lady, na dogo aliye maliza form 4 mwaka Jana mshamba_hachekwi 😂🤣
Wewe mkimbizi pia umevamia kambiMwachiluwi ni msaliti na mkimbizi kutoka team jf usiku wa manane 🙄
Ahahahh natak wa mtaani kwenu sasHahaha alikua mawindoni eh?
Kajiopolea baby wake mitaa iyo akatoka na nduki
Uliza kina Antonnia, we kenge maji tu🤣😂😂Wewe mkimbizi pia umevamia kambi
Wewe umekimbia uko kisa hakuna watu umekuja uku unaleta vurugu uku wapo wazungu tu wakana kapchino mjep Jr boss wa selfika uyoUliza kina Antonnia, we kenge maji tu🤣😂😂
Ni kua makini tu maana wengine Ni ke ila wanandevu zao.Ahahahh natak wa mtaani kwenu sas
Dahan hebu sema ukweli, Mwachiluwi sio mkimbizi🤣😂Hahaha alikua mawindoni eh?
Kajiopolea baby wake mitaa iyo akatoka na nduki
Sijui kwakwel ye akimbie tuu.. Si unajua tenaa mbio za sakafuni😂😂😂Dahan hebu sema ukweli, Mwachiluwi sio mkimbizi🤣😂
Sisi tutakuwa kwa mbali, tunashuhudia Mwachiluwi 😂🤣. akisurubiana na mbabe mwenzie😂Ni kua makini tu maana wengine Ni ke ila wanandevu zao.
Haha usije ukatuletea kilio tu
Kama una busara na unaishi huo msemo ya nini kuni quote kama nawe hufuatilii ya watu, halaf kaka kausha mi na chat na mwingine hayakuhusu.Ilaa wewe ndio mkorofi hapo kunna usemi wanasema
Achana na maisha ya watu kabisa utaishi sana