Ahaaaa kuuuuumbeeeehh!! Hahahaa..Ila wengine zile Wine nyekundu zinakimbilia nanii kule nanii......kwahiyo vyema unywe Mjeshi akiwa amerudi ππ
Wee Jifanye una file Langu tyuuuππ!Wala huyo SI weweπ€£ππ
π π πππAhaaaa kuuuuumbeeeehh!! Hahahaa..
Nitazingatia hilo babuuuu!!
Taratibu babu hio speed usijedondoka babuuu etuu!!π π πππ
Walaaa, sijauona msambwaπ€£ππWee Jifanye una file Langu tyuuuππ!
Niutoe wapi miee!! SinaaWalaaa, sijauona msambwaπ€£ππ
Maziwa Kwa afyaa. Safi saana. Mkuu.View attachment 2647594
Ni rahisi Kunywa Castle lite/Bingwa au John Walker kuliko Maziwa [emoji12]
Hapa najaribu kuona kama nitafikisha lita 200 zinazotakiwa kunyweka kwa Mwaka mzima.
Hello Tuesday [emoji1635]
Umefanya hadi nikasahau Mkongojo wanguπ§βπ¦―πTaratibu babu hio speed usijedondoka babuuu etuu!!
ππ Klayanti adumuDepal klayanti kasema ninunue βοΈ ya kutosha ili niendelee kuamka alfajir mpaka kazi iishe!π΅
View attachment 2647243
Sana Mkuu, ukisoma maelekezo ya watu wa afya, wanataka kila mtu anywe maziwa lita 200 kwa mwaka, yaani wastani wa nusu lita kwa siku.
Mkuu maisha yamekuwa tough saana Kwa watanzania wengi. Hahaha watanzania tunatamani tunywe maziwa Ila pesa ya maziwa ndio hiyo hiyo ya bundle la kuingilia selfika.Sana Mkuu, ukisoma maelekezo ya watu wa afya, wanataka kila mtu anywe maziwa lita 200 kwa mwaka, yaani wastani wa nusu lita kwa siku.
Juzi nilisikia ripoti kwenye kilele cha siku ya unywaji wa maziwa, inaonesha Unywaji umepungua miongoni mwa Watanzania.
Hii inaweza kuchangia afya za watoto na watu wazima kudolola.
Masela wote tupo pamojaπOle wako wako utukatae, Afu uje hospital utukute. Tutakufanyia hiviπ€£π€£π€£πView attachment 2647881
daaaah qmmmmmmqKula chuma hiko kwanzaa π€π€π€
View attachment 2647242
Ni kweli life ni gumu, lakini tunapopata nafasi tusiache kuupendelea mwili.Mkuu maisha yamekuwa tough saana Kwa watanzania wengi. Hahaha watanzania tunatamani tunywe maziwa Ila pesa ya maziwa ndio hiyo hiyo ya bundle la kuingilia selfika.
So far hata ulaji wa nyama na mayai upo chini saana Kwa watz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaa.Ni kweli life ni gumu, lakini tunapopata nafasi tusiache kuupendelea mwili.
Unaweza kutenga elfu 30 walau kununua lita 10 za maziwa kila mwezi ili watoto wawe wanakunywa.
Burger na chips hazina uhusiano na allergy, upuuzweNi kweli kabisaa.
Hawa watoto wasikuhizi burger na chips ndio maana allergy haziwaishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni kweli, miaka yetu wakati tunakuwa, hayo mambo ya Burger sijui Pizza hayakwepo kabisa.Ni kweli kabisaa.
Hawa watoto wasikuhizi burger na chips ndio maana allergy haziwaishi
Sent using Jamii Forums mobile app