National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
tunakuaga kama mazezeta hivi π π tunakaa sawa baada ya kupiga baoHahhaa hapo lazima kidume uone dunia yote yako π π π
Wazungu wakishatoka ndo akili huwa zinaturudiaga hapo hata kama alikuwa pisi kali imesimamia ukucha unamuona wa kawaida π€£π€£π€£tunakuaga kama mazezeta hivi π π tunakaa sawa baada ya kupiga bao
Naruhusiwa ku-order chakuondoka nacho pia....?ππUmeona eehππππ
Najua Hilo kitambo, hata Kuna kampuni Warren aliipat. Kutokana na ujuzi wakeBen ni mentor wa Warren Buffet
Ndio maana baadhi ya investors wakubwa duniani husema Think like Benjamin Graham and invest like Warren Buffet
Miss yah, rudisha avatar ya zamaniπAsantreeeeeeeeeeeh πΊπΊ!
Hauna ka selfii ka karibu hapo mchana wangu uanze vizure mkuu???
Do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π!
Wewe tuπNaruhusiwa ku-order chakuondoka nacho pia....?ππ
Senkyuu kichaaa akee..Miss yah, rudisha avatar ya zamaniπ
Bro utukumbuke na maselaππ€£π€£,Wewe tuπ
π€£π€£π€£Bro utukumbuke na maselaππ€£π€£,
Dah ile ya unywele na kisura Ni tamuππ€£π€£Senkyuu kichaaa akee..
hii ndio tamu banaaa!! Mnatuchamba sanaaa kisa Avatar fekii hizi ππ
SI ndo tutakubeba ujueπ€£πππ€£π€£π€£π€£
Wazee tunashauriwa kunywa maziwa kwa wingi ili kuongeza kinga za mwiliπ€Maziwaa kwa afyaaaaa !! Safi sanaaa babu!!
Kile sio changuu hiki ndio kisura changu sasa!! ππππ!!Dah ile ya unywele na kisura Ni tamuππ€£π€£
Naelewa umuhimu wa maselaπSI ndo tutakubeba ujueπ€£πππ€£
Wazee tunashauriwa kunywa maziwa kwa wingi ili kuongeza kinga za mwiliπ€
Ninyi Vijana mnashauriwa kunywa maziwa lakini msisahau kula nyama.
Wine mnatakiwa kunywa glass 1 kila wiki, tena ile Wine nyekundu π·
Wala haipendwi sura, tunapenda Motoπππ€£π€£Kile sio changuu hiki ndio kisura changu sasa!! ππππ!!
Kwamba hiki unaona unachat na Asha Ngedere?!πππ
Sasa ndio mniwache na avatar yanguu mieee π!!Wala haipendwi sura, tunapenda Motoπππ€£π€£
Ila wengine zile Wine nyekundu zinakimbilia nanii kule nanii......kwahiyo vyema unywe Mjeshi akiwa amerudi ππKunbeeh?? Kweli panapo wazee hakiharibiki kituuu..
Wabheja sana babuu
Ole wako wako utukatae, Afu uje hospital utukute. Tutakufanyia hiviπ€£π€£π€£πNaelewa umuhimu wa maselaπ
Wala huyo SI weweπ€£ππSasa ndio mniwache na avatar yanguu mieee π!!