Selfika na JF: Snap it. Show it

Treinnaaa watuliee kama maji ya mtungiiii!!

Weee nipe chimbo zuri la mduduuuuu!!
Mbeya unakuja linii???
Tumoghele🔥🔥🔥.

Pale Mwanjelwa,Nyuma ya soko lile la Mwanjelwa
Kunakuwaga na mdudu mtamu hatari.

Kwingine uswahilini huwezi fika😊


Simba wanataka wapasuke..
Ndo hivyo tena ndege tumepewa
Wananchi wanapanda ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…