Selfika na JF: Snap it. Show it

Mii kenge tena..... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Weee Intelligent businessman una nini wewe mbona upo hivo....
Umebadilika sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Analyse ebuu tukae na kijana huyu apate ushauri
Msamehe, kijana ana stress. Penzi lake ni jipya lakini linampelekesha.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Analyse vijana nimewapigisua kwata, Hadi wame surrender ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hatujamaliza wana Yanga
Mlete Diarra๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Golikipa kama huyu, Mama anaachaje kutoa ndege kwa mfano!
Baadaye shwaaaa na ndege,haooo Green city ๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ”ฅ
 

Attachments

  • Screenshot_20230605-163643.jpg
    152 KB · Views: 7
Haha vizuri nataka siku moja nikuone upo na CEO Tim Cook mmekaa meza moja kama board of directors na shareholders pale Cupertino, California Apple HQ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nataka siku moja nikae na Bantu Lady inatoshaaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ma ambao nilikuwa nawatamani siku moja nikae nao wanaishiaga kufa vifo tatanishi wengine wanajiuaa sijui maana yake nini
 
Haha vizuri nataka siku moja nikuone upo na CEO Tim Cook mmekaa meza moja kama board of directors na shareholders pale Cupertino, California Apple HQ
Maybe, ila watu Kama kina Warren buffet, Larry page washanusa hukooo.
๐Ÿ‘‰With the resources they have, itakuwa Kama kudeki baharii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ