Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,784
- 58,393
Basiii vyediiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukorofiii huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntawasambaziaaaa mie tenaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AaliyyahAnataka kuua undugu
Mapenz mapenz Jamaniπππ
Ndugu wanakataana huku
π€£π€£π€£ππ
Shahid wa yehova au ππAaliyyah unajua kuwa huyu Intelligent businessman ana kuelewa sana na ana malengo ya dhati na wewe... Ebu sasa fanya kitu kwa ajiri yangu maana nsipendi nione ana hali aliyo nayo naomba elewa asemalo na kama umeshaelewa basi mwambie mi nikiwa shahidi
Intelligent businessman nakubali sana goals zako clap hand to you mkuu π€Bro Jack Palladino chuki ya Hawa watu ni kubwa. Kisa nilisema nataka kuwa billionaire dahπ€£π€£π
Ahaaa kijana unakosea hapoπ€£Aaliyyah unajua kuwa huyu Intelligent businessman ana kuelewa sana na ana malengo ya dhati na wewe... Ebu sasa fanya kitu kwa ajiri yangu maana nsipendi nione ana hali aliyo nayo naomba elewa asemalo na kama umeshaelewa basi mwambie mi nikiwa shahidi
Kweli nilikua nimechanganywa tuu sijui shida yangu nini kwa kweli ila sasa naungana na wewe ndugu yangu Intelligent businessmanAaliyyah
usiwasikilize Poor Brain na mshamba_hachekwi
wanafiki wanafiki
Wazee wa kuwa pakazia
Yasio wahusu wanna ingilia
Maneno yao ni Kama ya Simba
Ukiya sikiliza, lazima yata kuingiaπ
Kwanini mkuu π€Ahaaa kijana unakosea hapoπ€£
Aisee Hebu muulize huyo Poor Brain anavyo nichukian na kunipondeaπ€π€Shahid wa yehova au ππ
Fanya hivo plzoooo π₯ΊπππππShahid wa yehova au ππ
Unamtongezea??Kwanini mkuu π€
Please bro Jack Palladino, maadui wame surrender. Usinambie na wewe unataka kuwa mpinzaniπππAhaaa kijana unakosea hapoπ€£
Yani nyie kama watoto πππKweli nilikua nimechanganywa tuu sijui shida yangu nini kwa kweli ila sasa naungana na wewe ndugu yangu Intelligent businessman
Hayo maneno ni bora uongee mwenyewe!Please bro Jack Palladino, maadui wame surrender. Usinambie na wewe unataka kuwa mpinzaniπππ
Paa paa paa π€π€π€π€π€π€Aisee Hebu muulize huyo Poor Brain anavyo nichukianna kunipondeaπ€π€
πNishawatag kumuweka unyumbaaπππππ
π I mean no malice to nobody
Sawa utoto ila ni hivo huyu Intelligent businessman ninamfahamu fika... Akipenda anapenda vibaya mnoooππππYani nyie kama watoto πππ
Ungejua wewe acha tuu πππππHayo maneno ni bora uongee mwenyewe!
Nifanye Kama mtoto, uninyonyeshe SasaπππYani nyie kama watoto πππ