Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,979
Kuna kitu nimenyimwa sijui ni nini😂eyes✅
lips✅
chocolate skin✅
Mungu akupe nini tena mama😂
Kuna kitu nimenyimwa sijui ni nini😂eyes✅
lips✅
chocolate skin✅
Mungu akupe nini tena mama😂
Kijana unajua kuchambua😅eyes✅
lips✅
chocolate skin✅
Mungu akupe nini tena mama😂
Ukuje bas uchukue kabla ya sumbai ajaja kubebaHata hayo napenda, tena kesho na chai yatanifaa😋
tulia, wewe hangaika na mashangazi 😂Kijana unajua kuchambua😅
Kwangu nimepanga uduguUdugu kwako pazuri🥰
Au kwa shemeji?
Uje ule maboga sasaKweli upo town kijana!
pokea compliment zangu bana😂Kuna kitu nimenyimwa sijui ni nini😂
Mimi ni ankal hamna shida.😅tulia, wewe hangaika na mashangazi 😂
Tumpe marks ngapi?Kijana unajua kuchambua😅
Enewei😂, thank you so much😍pokea compliment zangu bana😂
Yan upo town bado unakula maboga?au ulibeba toka Mbeya?😅Uje ule maboga sasa
Dogo mshamba_hachekwi licha ya unoko wako, ila nimeamua kukuShauri usiende huko 😂😆😂 kwa kina Lenie maana watu wa huko Hawa aminiki😂😂.We sema unakuja lini niandae ratiba ya kukuzungusha uenjoy huu mji🥰
NilibebaYan upo town bado unakula maboga?au ulibeba toka Mbeya?😅
Nikimpa marks huyu atafeli😊Tumpe marks ngapi?
Wanna anzaga hivyo hivyo😂😂, Afu mshamba_hachekwi haiombwagi hivyoo😂😂😂. Dah nishakua muhuni aisee🙄😂😂Enewei😂, thank you so much😍
Lenie ni shangazi yangu nampenda sana 😂Dogo mshamba_hachekwi licha ya unoko wako, ila nimeamua kukuShauri usiende huko 😂😆😂 kwa kina Lenie maana watu wa huko Hawa aminiki😂😂.
👉Usije lala stendi, Kisha wajuba wakapita na hako ka tachi kako 😂😂
Ndio mana daah😅Nilibeba
We dogo kchoyo Sana🙄🙄, umeshindia kunitumia boga nanjilinjii 😁😁Nilibeba
Ninong’oneze😂Nikimpa marks huyu atafeli😊