Hapo kapaka nimekaloveπ₯°Drop dead gorgeous Lenie, Glamorous Depal, Guffawing mshamba_hachekwi, mzee wa utalii wa ndani kwa mabasi mikweche Mwachiluwi
Nangoja Selfie zenu hapa
View attachment 2642884
Umelike comment ya lini kwaniπ π π hukuona tareheSijaelewa mkuu π€£
Hahahaa totoo hujambonakazia
usipotezee banaπ umeombwa pichaHahahaa totoo hujambo
Me sina pichaDrop dead gorgeous Lenie, Glamorous Depal, Guffawing mshamba_hachekwi, mzee wa utalii wa ndani kwa mabasi mikweche Mwachiluwi
Nangoja Selfie zenu hapa
View attachment 2642884
Nikisemwa nasusa π€£π€£Ntakupeleka kwa boss wangu mmoja hivi akugombeze, ukirudi unafanya vizuuuri kabisa!!!π€π
πusipotezee banaπ umeombwa picha
Shangazeeeeeeeeee Antonnia πππView attachment 2642832
Oh Lady boss umetingwa na kazi za klayanti.Yeahh, ila nimeishia episode 4, sina muda wakuangalia tena series mpaka next month huko.π΅π΅π΅
Utaipenda, japo story sio yakutiiiiisha kivile.πΆβπ«οΈ
π π π π kumbe una imanyaaaπΆ Oh my baby, hope you never leave me
Leave me when I need you
Leave me when I need you the most
Am craving, yes you know am craving
Craving for you body
Yes you know I want you for long
You the somebody son
Eh sister Tiwa gom find me iiiih
Na wewe ndo unanifaa aah wengi wananitamanii ooohh πΆ
Sana aisee naimanya hii ngoma iko kwa playslist yangu, mtoto Zuhura kalalamika sana humo. Imagine mrembo anakuambia maneno kama yale mwanawane ππππ π π π kumbe una imanyaaa
alafu awe akuombi hela , yani anakupenda ile natural tu, alafu pisi kali na kitandani inayaweza unafikiri utaanzia wapi kucheat π πSana aisee naimanya hii ngoma iko kwa playslist yangu, mtoto Zuhura kalalamika sana humo. Imagine mrembo anakuambia maneno kama yale mwanawane πππ
Na wewe ndo unanifaa aah wengi wananitamanii ooohh π
Hahaa lazima unawiri aisee utaona dunia yote yako, ukitoka mishe haina tena kupitia liquor stores moja kwa moja nyumbani kula mema ya nchi kama Jux yaani;alafu awe akuombi hela , yani anakipenda ila natural tu, alafu pisi kali na kitandani inayaweza unafikiri utaanzia wapi kucheat π π
π π π Kuna kipindi nilikuwa naishi na pisi moja matataa sanaa . kijiweni nilipoteaga miaka miwili.. mie ndani na kwenye harakati.. sikuwa ku cheat kuna rahaaa ya kuwa na kitu cha maanaHahaa lazima unawiri aisee utaona dunia yote yako, ukitoka mishe haina tena kupitia liquor stores moja kwa moja nyumbani kula mema ya nchi kama Jux yaani;
πΆSasa mapema
Narudi nyumbani
Vitu navikuta mezani
Siri siri vya mtaani mwenzenu (kwa sasa)πΆ
πππ uliinjoi sana hiyo pisi, yaani automatic unakuta una hamu tu ya kurudi home coz mrembo hana gubu lazima wana wakusahau kwa kijiwe. Sijui kwa nini mahusiano matamu kama hayo huwa hayadumuπ π π Kuna kipindi nilikuwa naishi na pisi moja matataa sanaa . kijiweni nilipoteaga miaka miwili.. mie ndani na kwenye harakati.. sikuwa ku cheat kuna rahaaa ya kuwa na kitu cha maana