Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Mmekula ng'ombe mzima au?Nimeshiba ndiiii
Tulia View attachment 2642430
Af 90???
Mmekula ng'ombe mzima au?Nimeshiba ndiiii
Tulia View attachment 2642430
🤣🤣🤣 njoo umchukue huyu branch meneja Jack PalladinoNyau nyau nyauuuuuuuu
Mihogo ndio nini🤣
😂😂 girls lunch.Mmekula ng'ombe mzima au?
Af 90???
Dada Deborah yaani unakula Bata mujini🤔🤔, mdogo wako nakimbizana na nyani nanjilinjii 😁😁😂😂Nimeshiba ndiiii
Tulia View attachment 2642430
Wa kuwatisha huwaoni? Hiyo mifupa ndo inakufanya mda wote uwee juu juu kwangu na kunifatilia mda woteee.Peleka mifupa yako huko, ptuuu!!
Kwani kuna siku hujacheka hadi machozi, kwa sababu seal haipo nikikukamata utacheka utoe kinyesi, we nizoee.
Njoo haraka unisaidie kazi maana niko busy hata kulike tu nashindwa!!😵😵😵Naomba lift
Me hata kwenye buti nakaa
Anasa hizo🤣😂😂 girls lunch.
😃😃😃 we bless the new month.Anasa hizo🤣
Wakishuaaaa 🥰😘#Ladybosses View attachment 2642449
Naomba aftatu basi na me nikale hata mihogo😃😃😃 we bless the new month.
😄😄😄 nitatoboa kweli?Njoo haraka unisaidie kazi maana niko busy hata kulike tu nashindwa!!😵😵😵
😂😂😂😂 miziziNaomba aftatu basi na me nikale hata mihogo
Nina ubao hadi tumbo linaunguruma mbele za watu hapa
Embu tuone pensi ilipoishia 🤓🤓"The purpose of our lives is to be happy." — Dalai Lama
View attachment 2642154
😂😂😂Embu tuone pensi ilipoishia 🤓🤓
Njoo nawe mjiniDada Deborah yaani unakula Bata mujini🤔🤔, mdogo wako nakimbizana na nyani nanjilinjii 😁😁😂😂