Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Anavuja jasho itakuwa 😂😂Ila ulikula au bado unatoka jasho?
Anavuja jasho itakuwa 😂😂Ila ulikula au bado unatoka jasho?
Kwani unahitaji picha kwanza?🤣Hapana shemeji 🤣🤣
Kwanza mwambie aweke picha tumuone
Bado hujaelewa kitu😂Sasa nimeelewa kwanini unaongea yote hayo😅
Ndio shemeji 😂😂😂Kwani unahitaji picha kwanza?🤣
Weka pic kwanza tuone tunafanyaje😅Bado hujaelewa kitu😂
akiwa babu ndio vizuri au?Ndio shemeji 😂😂😂
Sitaki kukuta nataniana na babu yangu
Age is just..... Muhimu faraja ipo😂Ndio shemeji 😂😂😂
Sitaki kukuta nataniana na babu yangu
Weka pic kwanza tuone tunafanyaje😅
Tobaaaa roho yangu
Age matters 😂🤣🤣Age is just..... Muhimu faraja ipo😂
Hapanaakiwa babu ndio vizuri au?
Hb kabisa🤣Tobaaaa roho yangu
Angalia usije ukaomba feni kwa uliehisi atakufia. 😂Hapana
Atanifia 😁
Unakulaje chips weweAhahah mnaziendekeza izo shida
Age matters 😂🤣🤣
Nakazia 🤣🤣Wakijichanganya kama kawaida!😅
Me nimefanyaje jamani🤣
😄😄😄 so mchezo lakini kupigwa sound kwa Waziri mkuuAngalia usije ukaomba feni kwa uliehisi atakufia. 😂
Nilimwambia Depal na Jack Palladino kuwa wewe huna neno na mtu wakawa wanabisha. 😅Me nimefanyaje jamani🤣