Selfika na JF: Snap it. Show it

Na vurugu zangu zoote, huwa sikubali mtoto wa kike kuharibiwa hatma yake hasa wanafunzi.. Mtu anaechezea watoto naona mshenzi tu na kama kuna nafasi namchomea utambii ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Vyahuku vinavyopenda sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!
. Inasikitisha sana
 
Unajua jf saa hizi, watu wanaponda na wengine wanasifia nyuzi za style yetu zikianzishwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. So nataka nikiwashe๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Vyahuku vinavyopenda sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!
. Inasikitisha sana
Watoto wadogo tunatakiwa kuwale na kuwaongoza njia ipasayo. Sio tunalalamika tu kuwa watoto wa siku hizi wameharibika, kumbe waharibifu ni sie wenyewe. Tuwalinde watoto wadogo hasa hawa wa mashuleni
 
Unajua jf saa hizi, watu wanaponda na wengine wanasifia nyuzi za style yetu zikianzishwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. So nataka nikiwashe๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Waache kwere wapambane nahare zaoo aseee !
Kumbe Watu wanaichukulia jf siriazzz kihivo khakha!!
Achana naooo tyuu kichaaa akeeee!;
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi machoziiii.

Wee digits hebu niwachee, hivi unajisikia raha sanaaa ukiwa unabishana na mie?? Na huwezi kuwa basha wangu kamweee, km nimeishiwa wanaume ni bora nitumie dildo tena beii chee madukanii

Kwa urungu gan ulokua nao wee hadi uwe basha wangu?? Hebu usijipe sifa usizo stahili hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ