Selfika na JF: Snap it. Show it


Asantreeeeeeh πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ€£πŸ€£!!
Kula maishaaaaa Ndio hayahayaaa!!
 
Hizi line uimbiwe na mtoto mzuri ni Kali saanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Nimpate wapi@cocastic hatak kunipa kijana mmoja
[QUOTE="Aaliyyah, post: 46642754, member: 663227


Thubutruuuuuuuuuu 😁😁😁!!
Tena anaonekana kakuvuruga sio kidogooooo sio kwa mi dedication hioii!! πŸ˜‚πŸ˜‚!!
 
🎡Dereva wa moyo wangu
Usinipeleke puta puta (Puta)
Taratibu mwenzangu
Penzi njia yenye matuta (Tuta)
Amepinga nimepinga
Penzi hamwezi futa (Futa)
Nakula kwa raha zangu
Nyama mpaka mfupa (Fupa)
Kisura cha upole
Kama mama yangu
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu Talalala🎡
sumbai
 
[QUOTE="Aaliyyah, post: 46642754, member: 663227


Thubutruuuuuuuuuu 😁😁😁!!
Tena anaonekana kakuvuruga sio kidogooooo sio kwa mi dedication hioii!! πŸ˜‚πŸ˜‚!!
Aah wapi mm ndo nyimbo zangu helasina nianze kumsikiliza nyimbo za masikitiko tenaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…