Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapiiii shangaziii akeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya nikupelekee studios. Mweeeeh
 
[emoji444]Na yangu mengi mahitaji sinamida huo
Mimi nalisaka tonge Ili liende kinywani
Sijatia mazonge kujitia mashakani
Niende huku niende kule kuitafuta Riziki
Sio kupiga kelele kujiongezea dhiki[emoji444]
Hahah huu wimbo wa taarab.

Kwa wale wakazi wa tanga mjini daladala nyingi mwendo wa taarabu speaker kubwa.

Young blood unazikumbuka daladala zenu za kisosora nguvumali??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji444]Na yangu mengi mahitaji sinamida huo
Mimi nalisaka tonge Ili liende kinywani
Sijatia mazonge kujitia mashakani
Niende huku niende kule kuitafuta Riziki
Sio kupiga kelele kujiongezea dhiki[emoji444]@Antoniia
Hayaa sasa likizo imetaradadiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi shule zifunguliwe harakaa, watakukosaa wee, watashangaa ushakua Sabaha muchacho. Uwiiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jana Ilikuwa siku ya kucheza mziki
Leo kuimba no stress sabaha Niko hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…