Selfika na JF: Snap it. Show it

Uvivu ni adui mkubwa, wa ujenzi wa taifa kwani ndio kiini hasa, kisababishacho njaa

Ewe ndugu yangu wee,
amka kumekucha, kamata jembe na panga twende shambaa

Ata wewe mwanangu, amka kumekucha, kwani hizi ndio za kwenda shule

Your browser is not able to play this audio.
 
Wajumbe sio watu wazuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakuambia "we ulisikia wapi DARUSO inaongozwa na mwanamke, nani alisema??"

Ila wajumbe siwawezii kwa kweli, kwa jinsi Alice alivyokuwa ananadiwaa nilijua mapema tyuuh anatangazwa ubingwa, uwiiiiiiiii

Wajumbee hapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…