Selfika na JF: Snap it. Show it

Kilivhojiri Sasa 😀 zitafunikwa had ziombe msamaha kunamtu kanishauri kesho nitembee hivhiv mjini😂😂😂
Yes dear ziachie hata mara moja ..
misuko hiyo mizuri ,nywele hazichomi hata .
no kubana ni kuvaa na kusepa
 
Nitaziachia sikumoja napiga modo matata 😂😂naachia nywele nyie natafuta na miwani flan hiv nawazoom tu😂😂😂
Achia mamaa
ukienda kwa babe abaki kushngaaaa .

mie naaachiga sana mitindo hiyo mizuri nilisuka uzi wa utumbo mifupi hadi begani .

nikawa nabadilisha tu style kwa kichwa
 
Aiseee pendaneni hivyo
love is a beautiful thing , sijui alikuwa wapi sikuzote kaja kusema mwaka wa mwisho .

sijawahi kuwa na mahusiano shuleni/chuo but nahisi raha kuwa na mtu ukiingia darasani unqmuona baby yule unasmile huyo unaenda kuketi .
Ndiwoooooooo dear umejuajeeee??
mnakonyezanaa jichooo maisha yanasongaaa, kuna viji ugomvi vya kuchachua penzii bas burudaniiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…