Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Umeona hili kumbe, yaani kaingia rasmi. Ajipange sana hapo bado atakimbia yeye... Sisi Yanga hatujaanza ishabikia jana ππππππππππππππ! USM ALGER Katukaliajee kooni wana ππππ utadhani tumemuharibia kitumbua chakee walai mbona tunalooooπππ!
cocastic mtrajejoooooooo sieπππ hatuna habareeeeee tunajipanga tukabadili rekodii hukohuko kwa mbwa koko haoππ.. Sio kwa kuwewesekaaa hukuuuu π!!!Umeona hili kumbe, yaani kaingia rasmi. Ajipange sana hapo bado atakimbia yeye... Sisi Yanga hatujaanza ishabikia jana ππππππ
Hahaha...........amen πAmen amen granpaa etuuuu!!!
Kweli Kabisa mbona Mwinyi akasomeeeπ!
Kumbe unalifahamu, kuna samaki wanaitwa Nguruka nilidhani ndiyo wanatoka pale kumbe sivyo πBwawa la mindu , nimelikumbuka .
Naweza kuhitaji kiasi kwa matumizi binafsi, naweza kupataje?Zipo, hizo ni za tanga. Nipe oda mkuu
Eti Li mshangaziLi Shangazi
45 years of age !!
Happy birthday to me!!
More years to come!!
Nakutania mkuuNaweza kuhitaji kiasi kwa matumizi binafsi, naweza kupataje?
Sawa, ila miezi hii sijui kama zinaweza kupatikana.Nakutania mkuu
Hizo kuna mzee aliniletea mwaka jana, kwa sasa sina hakika kama anazo. Ngoja nitamcheki kama anazo nitakupa namba yake.
Chuo mnafungua lini?Kumbe unalifahamu, kuna samaki wanaitwa Nguruka nilidhani ndiyo wanatoka pale kumbe sivyo [emoji28]
Umewahi kula nguruka?
Wee Wigee mie kijebaaaa lolπππ!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£We're ideologically promiscuous, and loose canon!...
To put it in more simple terms, Tanzania is ramshackle kleptocracy.......
Uliadimika Mkuu, nikahisi labda Ndugu zake Sarafina kule kwa Madiba wamekuteka πChuo mnafungua lini?
π€£π€£π€£π€£! Binafsi nilimiss sana hizi fujoo zakooo msukuma!!Chuo mnafungua lini?
Acha tuUliadimika Mkuu, nikahisi labda Ndugu zake Sarafina kule kwa Madiba wamekuteka [emoji28]
Unadhani kwa Uzee huu nitakuwa mwanafunzi? Saivi nimebaki kucheza na wajukuu tu [emoji2957]
Kuna siku nilikuwa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere tukisubiri usafiri, kuna Dada msouth aliingia pale amejaa mno kwa umbo la kibantu πAcha tu
Wa kina khumbu ni shida
ndio nawajuaKumbe unalifahamu, kuna samaki wanaitwa Nguruka nilidhani ndiyo wanatoka pale kumbe sivyo π
Umewahi kula nguruka?