Selfika na JF: Snap it. Show it

Waarabu wanajua aisee yaani Yanga hata hawajamaliza kushabikia vizuri goli lao jamaa wakawafunga mabakuli yao ๐Ÿคญ
Kama nawaonaa wachawi wanavofurahia hukooo ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ!!

Mayelee kaongeza goliii kiatu kinamuhuuu๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›!!
Nakule ataongeza treinaa!!
Bado tunaimani na ๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’› inaenda kkuvunja rekodi yao ya kufungwa homeeee ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿค—๐Ÿค—!!
 
Hahahaa naona sasa hivi vyura wa jangwani ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ mnajificha kwenye kuvuli cha magoli ya Mayele. Kule kwa Waarabu mnaenda kukojolewa vi 4
 
Gojaaaa nisogeee nyumaaaa kidogooo furahaaa ni yetu wao wanaumiaaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿฅฐ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ