Miaka mingi sana sijasogea kipande hiyo, amost 18/19yrs...
Hiyo main building naona bado ipo kama zamani tu...
Siku moja nitasogea hiyo side ya dunia, nimemiss sana maisha ya Chuga/Moshi/Marangu na Mwanga (hizi zilikuwa ndio vijiwe zngu nikiwa nafanyabmaisha huko kaskazini)