πππππ muoneπ€£π€£π€£
Nataka kwenda India
Totoo mshamba_hachekwi eti kwenu mnae Prado?
Siku nipige nayo selfie
una hela we jamaa π hiyo naiskiaga tu ni ghaliBelvedere Vodka?
ukipata prostate cancer uanze kupigwa vidole na madokta ndo utaelewa somoπUnja mifupa meno ingalipo, no body stay alive forever bro.
Aisee hapana , we should stay health for us to live a better life .Peterrabbit atakuambia 'we only live once' π
Nilitaka ziwe spicy kidogo nikazipasha kidogo na maji, garlic & black pepper. Nikajisahau kidogo zikalainika sana so I had to improvise!ππhauku zifry? ππ
Muhimu zilike.
Pishi litarudiwa wakati mwingine
ππ kaongezee udambwi dambwiVits vipi huitaki, ipo mamba F hapa
hahaa hebu tumuone kwa picha ππHuyo anafunguliwa saa 6 masai akilala, nikifungua sasa hivi atamla huyu masai wanguπ
Muache mwenzio ale mabata, usimtishe!ukipata prostate cancer uanze kupigwa vidole na madokta ndo utaelewa somoπ
ππ kaongezee udambwi dambwi
π€£π€£π€£π manual??Njoo uchukue hii, ila uwahi kurudisha baada ya photo shoot View attachment 2635976
kwa YesuMambo
na wewe unatumia vodka mkuu....Muache mwenzio ale mabata, usimtishe!
Mmmmh ankoliii taratibu mambo yakookazuri [emoji39]
Wachaaaa wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amepata kura yangu![emoji4]