National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π π π bora umemueleza aisee, maana hata huku Lodge zipo hadi za alfu tatuTinsley Lodge ya nini tena, kwani umesiki yeye hana uwezo wa lodge? π
Sema sina kitanda cha mgeni ila kilochopo ni kikubwa kinatutosha National Anthem
huko lodge analipia mwenyewe , natoa wapi 40k usiku huu mie .Tinsley Lodge ya nini tena, kwani umesiki yeye hana uwezo wa lodge? π
Sema sina kitanda cha mgeni ila kilichopo ni kikubwa kinatutosha National Anthem
Anyoshe maelezo, Tinsley karibisha wageni acha kupigwa na baridi peke yako.π π π bora umemueleza aisee, maana hata huku Lodge zipo hadi za alfu tatu
sina home kwa sasa ile ni ghetto πππ .raha ya mgeni alale home ππ
Unalalamika kwa 1000?π Ungempa 10000 kabisa, na keep change.Leo kimenipata Tinsley nimerequest ride. Recommended fare 5500. Nikaweka 6000.
Davoo kaja ananambia nimpe 7000ππ
Namuuliza kwanini aliaccept fare niliyoweka?
Anaanza kuniita shoga akeππ
Sijamkazia sbb ni mdada
Unazani flight mode waliweka kama pambo? Tinsley National Anthemsina home kwa sasa ile ni ghetto πππ .
wifi yetu atakupigia simu nyingi , usimpe mawazo .
Nitazima simu alafu yeye mzungu hana hisia mbaya mbayaaa π€£π€£π€£ maana hakunikuta single nae alimyanganya mtusina home kwa sasa ile ni ghetto πππ .
wifi yetu atakupigia simu nyingi , usimpe mawazo .
kakitanda kadogo kanatosha tulala mzungu wa nne tuhuko lodge analipia mwenyewe , natoa wapi 40k usiku huu mie .
kitanda kidogo sana kile hakitoshi aisee .
Pole sana dear , next time chukua wa kiume mnaweza negotiate kwa maneno machacheLeo kimenipata Tinsley nimerequest ride. Recommended fare 5500. Nikaweka 6000.
Davoo kaja ananambia nimpe 7000ππ
Namuuliza kwanini aliaccept fare niliyoweka?
Anaanza kuniita shoga akeππ
Sijamkazia sbb ni mdada
sio fair aiseeeeUnazani flight mode waliweka kama pambo? Tinsley National Anthem
Hakuna sehemu ya kutandika mkeka?huko lodge analipia mwenyewe , natoa wapi 40k usiku huu mie .
kitanda kidogo sana kile hakitoshi aisee .
πππNitazima simu alafu yeye mzungu hana hisia mbaya mbayaaa π€£π€£π€£ maana hakunikuta single nae alimyanganya mtu
mkeka ninao tena mkubwa .Hakuna sehemu ya kutandika mkeka?
ππ Hata wa kiume wanataka hela, maisha magumu sanaPole sana dear , next time chukua wa kiume mnaweza negotiate kwa maneno machache
na kamuita wa nn huyo shoga yake duh
hanaaa taaabu kabisaa, kikubwa heshima tuπππ
huyo dada mzungu kweli...
kesho anakupokea kwa furaha kabisa ????
wa kiume rahisi kudeal naoππ Hata wa kiume wanataka hela, maisha magumu sana
hongera hapo umepata mke mwemahanaaa taaabu kabisaa, kikubwa heshima tu
anaogopa bure tu huyo π πKaka National Anthem hama shida hapo mnalala safi kabisa. ππ
naheshimu waume za watuKaka National Anthem hama shida hapo mnalala safi kabisa. ππ