Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Unakuja na jezi zetu??[emoji846]
Mtoto yuko wapi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukikaribia Ununio usimame unipungie ndo uendelee na safari.Hivi ununio ndio ipo wapi?
Lenie akikudaka unarukaruka.... πMtoto ni mwanamke mrembo kama wewe![emoji28]
safi kabisa za masiku mengi ya kupotea??nzuri vipi wewe
Lenie akikudaka unarukaruka.... [emoji23]
Watu wa Mbeya na kupunga mikono tunaenda sambambaπUkikaribia Ununio usimame unipungie ndo uendelee na safari.
Maneno yatakua mengi, hiyo pole utamwambia mwenyewe!π₯΄Halafu nilisahau mpe pole jana tumempiga 4-1, jezi muhimu naiuja nazo!
wacha ninyamaze πMimi?[emoji15]
Maneno yatakua mengi, hiyo pole utamwambia mwenyewe![emoji3061]
wacha ninyamaze [emoji23]
Hata mimi ninavyovinunua huwa havijai wafanyabiashara wanatupiga sana π€Ah sikutia hasara
si unajua vikopo vyenyewe hivi na wafanyabiashara lazima uwe mchumi , kikopo hakijai ππ
Mrembo katoka kaniachia simu yake!πMtoto ni mwanamke mrembo kama wewe![emoji28]
Mrembo katoka kaniachia simu yake![emoji52]
tengeneza mwenyewe nyumbani .Hata mimi ninavyovinunua huwa havijai wafanyabiashara wanatupiga sana π€
Nan kasem?Hakuna ghafla kwenye hizi ishu!
πππWatu wa Mbeya na kupunga mikono tunaenda sambambaπ
Nakuja hadi ulipokaa
Mood itakata ghafla!!!πJana tumpewapiga kipigo kibaya sana, lazima nimpe pole kabla ya yote!
Kaka yako kasema!!πNan kasem?