Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kitambi kwani kinawasha? Kwanini ukiogope
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Naogopa kuwa kama kamtungi ka gas!!🫣🫣 Ntashindwa kufurahia hugs na kuvaa crops! πŸ™ˆ
 
hii hua naiskia sana kwa watu ila sijawahi kuiamini mpaka saivi unavoniambia....
wengine hata sio mental issues ni spirit zinatumwa kuwapa hayo
mawazo machafu . we should pray at all times

ilibidi nibadilike toka kuwa character yangu ya upole ulitukuka hadi sasa nilivyo .. nisiruhusu mtu yoyote kunibully in any form .
 
afu nahisi haya mambo ya mental health yanasumbua zaidi vijana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…