mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,098 May 22, 2023 #333,601 Lenie said: Hahaha unywe sumu na course work umuachie nani Click to expand... dah, wacha nikuache uende nakutakia kila heri upate mubaba π
Lenie said: Hahaha unywe sumu na course work umuachie nani Click to expand... dah, wacha nikuache uende nakutakia kila heri upate mubaba π
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 May 22, 2023 #333,602 mshamba_hachekwi said: vizuri, tunaenda kibishibishi Click to expand... Kawaida mkuu
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 May 22, 2023 #333,603 mshamba_hachekwi said: dah, wacha nikuache uende nakutakia kila heri upate mubaba π Click to expand... Mwanaume hutakiwi kukata tamaa kirahisi, unazidi kunipa mashaka
mshamba_hachekwi said: dah, wacha nikuache uende nakutakia kila heri upate mubaba π Click to expand... Mwanaume hutakiwi kukata tamaa kirahisi, unazidi kunipa mashaka
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,098 May 22, 2023 #333,604 Lenie said: Mwanaume hutakiwi kukata tamaa kirahisi, unazidi kunipa mashaka Click to expand... sasa wewe unanisukuma afu unanivuta tenaπ nifanyeje....
Lenie said: Mwanaume hutakiwi kukata tamaa kirahisi, unazidi kunipa mashaka Click to expand... sasa wewe unanisukuma afu unanivuta tenaπ nifanyeje....
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 May 22, 2023 #333,605
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 May 22, 2023 #333,606 Grahams said: Hahaha...........Mimi nimebaki kushauri tu Vijana, mambo hayo Wazee hatuyawezi kabisa Mjukuu π Click to expand... Safi hioo Wazee ... mna nafasi zenuu zakipekeee sana
Grahams said: Hahaha...........Mimi nimebaki kushauri tu Vijana, mambo hayo Wazee hatuyawezi kabisa Mjukuu π Click to expand... Safi hioo Wazee ... mna nafasi zenuu zakipekeee sana
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 May 22, 2023 #333,607 mshamba_hachekwi said: sasa wewe unanisukuma afu unanivuta tenaπ nifanyeje.... Click to expand... Ukikua utaelewa totoo, we bado mdogo
mshamba_hachekwi said: sasa wewe unanisukuma afu unanivuta tenaπ nifanyeje.... Click to expand... Ukikua utaelewa totoo, we bado mdogo
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,098 May 22, 2023 #333,608 Lenie said: Ukikua utaelewa totoo, we bado mdogo Click to expand... kwakweli kama ukubwa ndo huu waache wanaume waendelee kujichua na kunywa sumu π
Lenie said: Ukikua utaelewa totoo, we bado mdogo Click to expand... kwakweli kama ukubwa ndo huu waache wanaume waendelee kujichua na kunywa sumu π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 May 22, 2023 #333,609 Antonnia said: Safi hioo Wazee ... mna nafasi zenuu zakipekeee sana Click to expand... π π Kwa niaba ya Wazee wenzangu, tunapokea pongezi zako. Tunaendelea kutoa ushauri kwenu Vijana na kuongoza kwa mifano bora π
Antonnia said: Safi hioo Wazee ... mna nafasi zenuu zakipekeee sana Click to expand... π π Kwa niaba ya Wazee wenzangu, tunapokea pongezi zako. Tunaendelea kutoa ushauri kwenu Vijana na kuongoza kwa mifano bora π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 May 22, 2023 #333,610 Lenie said: So hapo katikati kabla boom halijatoka nitapata wapi vocha babu Click to expand... Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali, Mfanyie wepesi Dogo awe mmoja wao, manake we mwenyewe ni wa Ushuani vile vile π π
Lenie said: So hapo katikati kabla boom halijatoka nitapata wapi vocha babu Click to expand... Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali, Mfanyie wepesi Dogo awe mmoja wao, manake we mwenyewe ni wa Ushuani vile vile π π
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,098 May 22, 2023 #333,611 Grahams said: Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali, Mfanyie wepesi Dogo awe mmoja wao, manake we mwenyewe ni wa Ushuani vile vile π π Click to expand... anifanye shareholder sioπ€£
Grahams said: Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali, Mfanyie wepesi Dogo awe mmoja wao, manake we mwenyewe ni wa Ushuani vile vile π π Click to expand... anifanye shareholder sioπ€£
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 May 22, 2023 #333,612 Antonnia said: Hivohivo tuyaone ankoli banaaaπ ! Hizo ndevu nyingi sana hadi unashindwa mfanyia vizuri mwali romance ya kidevu ankoli akee nyingi zinadusturb !! Au ankoli wee team mwamnyetoπππ€ !! Click to expand... π π
Antonnia said: Hivohivo tuyaone ankoli banaaaπ ! Hizo ndevu nyingi sana hadi unashindwa mfanyia vizuri mwali romance ya kidevu ankoli akee nyingi zinadusturb !! Au ankoli wee team mwamnyetoπππ€ !! Click to expand... π π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 May 22, 2023 #333,613 mshamba_hachekwi said: anifanye shareholder sioπ€£ Click to expand... Mnafungua Kampuni yenu ya Chakula pamoja, siku tukiwa na Kikao cha Kijiji tunawapa tenda ya kutuandalia Biriani. Ila mkiachana tu, Kampuni inafungwa π
mshamba_hachekwi said: anifanye shareholder sioπ€£ Click to expand... Mnafungua Kampuni yenu ya Chakula pamoja, siku tukiwa na Kikao cha Kijiji tunawapa tenda ya kutuandalia Biriani. Ila mkiachana tu, Kampuni inafungwa π
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 May 22, 2023 #333,614 Grahams said: π π Kwa niaba ya Wazee wenzangu, tunapokea pongezi zako. Tunaendelea kutoa ushauri kwenu Vijana na kuongoza kwa mifano bora π Click to expand... Aminaaaaaaaaaaaahhh!! Mbarikiwe sana!
Grahams said: π π Kwa niaba ya Wazee wenzangu, tunapokea pongezi zako. Tunaendelea kutoa ushauri kwenu Vijana na kuongoza kwa mifano bora π Click to expand... Aminaaaaaaaaaaaahhh!! Mbarikiwe sana!
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,318 Reaction score 72,098 May 22, 2023 #333,615 Grahams said: Mnafungua Kampuni yenu ya Chakula pamoja, siku tukiwa na Kikao cha Kijiji tunawapa tenda ya kutuandalia Biriani. Ila mkiachana tu, Kampuni inafungwa π Click to expand... muache aende tu... nijichoshe kutafuta pesa nichakae?? bora sheria mkononi π
Grahams said: Mnafungua Kampuni yenu ya Chakula pamoja, siku tukiwa na Kikao cha Kijiji tunawapa tenda ya kutuandalia Biriani. Ila mkiachana tu, Kampuni inafungwa π Click to expand... muache aende tu... nijichoshe kutafuta pesa nichakae?? bora sheria mkononi π
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 May 22, 2023 #333,616 Grahams said: Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali, Mfanyie wepesi Dogo awe mmoja wao, manake we mwenyewe ni wa Ushuani vile vile π π Click to expand... Awe tu mpole huyo dogo π
Grahams said: Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali, Mfanyie wepesi Dogo awe mmoja wao, manake we mwenyewe ni wa Ushuani vile vile π π Click to expand... Awe tu mpole huyo dogo π
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 May 22, 2023 #333,617 Muwe na jioni njema wapendwaaa βοΈ!!!!!
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 May 22, 2023 #333,618 Lenie said: Awe tu mpole huyo dogo π Click to expand... Hayo ndiyo maneno π€
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 May 22, 2023 #333,619 mshamba_hachekwi said: muache aende tu... nijichoshe kutafuta pesa nichakae?? bora sheria mkononi π Click to expand... Hahaha.......wanasema sheria mkononi inafanya misuli kuwa legelege Mwisho wa siku ukahitaji tuwape dawa zetu za asili wakati tatizo mna create wenyewe π
mshamba_hachekwi said: muache aende tu... nijichoshe kutafuta pesa nichakae?? bora sheria mkononi π Click to expand... Hahaha.......wanasema sheria mkononi inafanya misuli kuwa legelege Mwisho wa siku ukahitaji tuwape dawa zetu za asili wakati tatizo mna create wenyewe π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 May 22, 2023 #333,620 Antonnia said: Aminaaaaaaaaaaaahhh!! Mbarikiwe sana! Click to expand... ππππ