Na haturingiiii wala nn, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We are Cityzens [emoji123]
The treble is coming![emoji471][emoji471][emoji471]
sikutaka watu wajae aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ulificha jerahaa? Wee dear hebu kuwa serious.
Nivionaa janaa mbna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa...weee shoss umeviona lakini ??? Hiko cha katikati hahaha...
Duuuh ubarikiwe kwa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikutaka watu wajae aisee
kule kwetu wambeya hahaha [emoji23][emoji23] na ukijulikana mtoto kwa fulani ndo kabisa .
sipendi hata hivyo kuonewa huruma ..
Anakusoma hapa, atakujaMwambie aje kusalimia mwenyewe
Ni Mungu tuDuuuh ubarikiwe kwa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ujasiri hapanaa
Huku tuko poaa sanaaaNi Mungu tu
sio kwa uwezo wangu .
mmeamkaje huko .
Mambo vipiSalama Mungu nimwema
mmmh!!😂Pink Monday 📸View attachment 2630991
Mwamba anaupiga mwingi🤣Nimefika wakati muafaka Sana!
Hongera zake Sana uyo mwamba
ntajaribu kutafuta mtu hapa kanisani...katika maisha twahitaji guidance either spiritual au kimaisha .
bila hivyo ni ngumu .
unaposali hapo kanisani hakika wapo ,haitakuwa rahisi ila utafika tu .
Vipi totoommmh!!😂
mambo ni mazuri😂 wacha nisiongee sana mtasema nina tabia mbaya😅Vipi totoo
kwema boss.... vipi na weweHabari ya j3 wana selfika
Soma kwanza totoomambo ni mazuri😂 wacha nisiongee sana mtasema nina tabia mbaya😅