Baadae ni juma3 π€£π€£sasa mbona unawahi kutoka π
Pitia hapa nikugawie bundle....Ni muda wa kulala π₯³View attachment 2630738
Akili hawana hivi kweli Mzungu wa kumvunjia nazi ??,πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mie sitaki kucheka lol.
Khaaah kazi ipoo
Wanachekeshaa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili hawana hivi kweli Mzungu wa kumvunjia nazi ??,[emoji23][emoji23][emoji23]
kuwahi poriniπ kazi unayoBaadae ni juma3 π€£π€£
Washa kindege ulale ππ au ndio kunakuchaPitia hapa nikugawie bundle....View attachment 2630750
ππ ndio nishakuwa mkubwa sasa, nitafanyajekuwahi poriniπ kazi unayo
tafta mubaba usiteseke sana πππ ndio nishakuwa mkubwa sasa, nitafanyaje
Sitaki mubaba πtafta mubaba usiteseke sana π
Nimejikaza muda...naogopa kulala bila kufaidi WiFi ya jirani vizuri! π₯±πWasha kindege ulale ππ au ndio kunakucha
Navipenda vipicha hivi.. kuna vitu una imagine tuPicha ina tafakuri nyingi sana hiyo πππ
Kesho si ukiamka utaikuta? Au jirani akitoka saa 11 alfajiri, kurudi ni usikuNimejikaza muda...naogopa kulala bila kufaidi WiFi ya jirani vizuri! π₯±π
kweli we ni wa arushaπ #no romanceSitaki mubaba π
Hapo ukifika Thurs umejibana sana!Njoo tumuibie jirani yangu!!!!πΆβπ«οΈπΆβπ«οΈsioni kama natoboa hii wiki na hili bundle.. nineliweka ijumaa na nilikuwa busy.. ila lina drop . andae lingine unipunguziView attachment 2630754
Napenda sana speed kubwaa aiseee.. wifi naona kama najibana.. hili usiku nalimaliza kuna kazi nahisi nikianza fanya mzigo unakata π πHapo ukifika Thurs umejibana sana!Njoo tumuibie jirani yangu!!!!πΆβπ«οΈπΆβπ«οΈ
Nasemaa...tumemshusha vyeoMacho yake yametua pengine πππ
π€£π€£Kesho si ukiamka utaikuta? Au jirani akitoka saa 11 alfajiri, kurudi ni usiku
Hii ya jirani si haba! Kuna muda inajisikia kwenda mpaka 4mb/s πNapenda sana speed kubwaa aiseee.. wifi naona kama najibana.. hili usiku nalimaliza kuna kazi nahisi nikianza fanya mzigo unakata π π
4mbs bado ndogo sana.. nishanya kazi sehemu mzigo ulikuwa unatembea hadi 500mbs ndio walinifanya kuchukia internet ya mwendo kobe..Hii ya jirani si haba! Kuna muda inajisikia kwenda mpaka 4mb/s π