Naona mtaa upo shwari vile vyekundu vyekundu havipo๐๐Hana bando
Hua unatuma na ya kutolea?haha kwanini nife nakihoro pisi nikiielewa?
Kama zege ntabeba? Kama mkaa ntakata just for her!
mzee, nikiachia sana, inabidi niiditch IDSasa mkuu huku ndiyo kuselfika gani? Unatuaekea fulana nyeupe? Umekata Sana mzee,punguza kucrop Kaka.
Hatutumi mzeee ๐๐๐Nipo chief navizia selfie hapa kimya kimya
Ndio inatakiwa iwe hivi, makasiriko huku sio mahala pakeNaona mtaa upo shwari vile vyekundu vyekundu havipo๐๐
Sitosahau nilienda kulala kwa masela zake huyo msela godoro chini la tano kwa sita tulikua Kama nane ivi ๐ ๐Jaman usiku wote huo ukaenda wapi sasa๐คฃ
Sisi watu wa mapenzi yalikozaliwa Ni mwiko kuwachosha watoto wa kike.We usije kumchosha mdogo wangu.๐๐
Kweli umekata sana adi sio poamzee, nikiachia sana, inabidi niiditch ID
hahahahahahahaView attachment 2630692
Members laki 6 afu unakuta mtu yupo singo uuliwe tu Bangladesh de Filter gear box
Aiseee humu Selfika sijawa addicted kabisa ukitupia nitag basi au tupia ๐โ๏ธ Kwangu ๐๐๐Kesho kaka Leo inatosha ninejitahd sana ๐
Daah pole sana hahaaaSitosahau nilienda kulala kwa masela zake huyo msela godoro chini la tano kwa sita tulikua Kama nane ivi ๐ ๐
Mimi nili muignore mda sana sema mood hawajaweka mtu asione comment yakoDisco ndo mwisho wa reli huyu mdogo etu atafeli๐ anaacha kukazana na masomo anakuja kusumbua humu Jana tu nimekula dislike 117
Sio nile zangu, ule zako alafu ndio tule za pamoja???๐๐๐tuanze kwako basi tuzitumie hela zako, zikiisha tuanze zangu ๐
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃJana tu nimekula dislike 117
NitakutagAiseee humu Selfika sijawa addicted kabisa ukitupia nitag basi au tupia ๐โ๏ธ Kwangu ๐๐๐
Umeniskitisha sana Kijana. PM yangu ipo empty kabisa ๐ข
Nipo chief navizia selfie hapa kimya kimya
Nilishapoa alafu alikua ni homeboy kwahyo nikaona nisimkazie wa nyumbaniDaah pole sana hahaaa
Strength yako ni mguu? Naona flat tommy ๐ฅฐ