Good.. mimi sina shida hapo. Ila broh.
Kama umri wako unarange 15-21 ruhusa kuwa na mpenzi wa aina hiyo! But kama una 22 kuendelea achana nae huo ni muda wa kijana hasa wa kiume kuipamba future yake..
Kama unaona hakuna mapenzi ya dhati kati yenu mnaunganishwa na kufanya ngono tu. Temana nae.. huo ni muda wa kua na mpenzi (sio demu) wa malengo nae ambae mnaweza mkakaa chini na kupanga mambo fulani yakasonga!
Hata kama hamtafika lengo la kuishi milele ila ni vizuri zaidi kua na mtu ambae una commitment nae si unajua Penye wawili wenye visiΓ³n moja hakiharibiki kitu..!
Kaa chini fikiria faida ya huyo demu wako, hafu angalia future yako kijana

Mimi mbona siko upande huo..! Hua napenda kuwasilisha tu mawazo yangu kama mada itakua imenigusa. Hua siangalii jinsia.. Hata nikiwatetea nina uhakika asilimia 120% siwezi kuwapata au kuwamudu madada wa humu.
Sina sifa ya uchomoa betri wala ubaharia..I'm just the dump one