Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata wengi nipe mmoja nijiliwaze nifanye mazoez[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utachundaa huu mwakaa, huna handsome hata wa dawa, sasa unaishi ili iwejee?? Changamka weweeeeeeee
 
😂😂😂😁😁😁😁! Utakua umemshika pabaya shougaaanguuu weee mbaaaayaaaaaaaaaaa😂😊!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utachundaa huu mwakaa, huna handsome hata wa dawa, sasa unaishi ili iwejee?? Changamka weweeeeeeee
Kwakweli niuawe tu 😂😂😂 Sina maana dah aunt una mahandsome kumi mm hata mmoja 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]! Utakua umemshika pabaya shougaaanguuu weee mbaaaayaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji4]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si bora angekua lijari ningesema nimpee akate kiu, kwamba kweli nimemshika pabayaa.

Itikadi zake unazijua? Acha nichekee anavyojitutumua humu ndanii mwenzenu nachekagaa hadi hoiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenye mafile wamekutana [emoji23][emoji23][emoji23]ni kufailiana tu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa ni kufailiana km kumbukumbu za utumishii wa Tamisemi, kitengo cha interview za ajira.
 
Ohoooooooohhh!! Mungu amrehemu tyuu huyo no way !
 
Usiku mwema wapendwa mrare unonoooo!!

Kesho nayo ni sikuuu✌️✌️!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…