Karibuni cha mchanaView attachment 1271990
Khaa Saint anne na Paula Paul hebu acheni uhuni,, rudisheni hizo picha eti..
Muite mpenzi wangu.. sio Demu!Demu wangu alivaa nguo kama hii kwenye first-date
:[emoji23][emoji23] sawa mkuu naona ugumu kuita mpenzi wangu.. Roho inanisutaMuite mpenzi wangu.. sio Demu!
Demu hua wanaitwa makahaba
Tayari
Kwanini inakusuta??
Kwanini upoteze muda wa mwanamke unayemchukulia kawaida wakati wapo ambao unaweza wachukulia siriasi.?Namchukulia kawaida sana
NdiwoooUnabisha eee
@Mshana JrDuh, Mshana alikwepoView attachment 1272113
Duh, ata yeye ananichukulia kawaida sana .. Nadhani yeye ndio ananizibia rizkiKwanini upoteze muda wa mwanamke unayemchukulia kawaida wakati wapo ambao unaweza wachukulia siriasi.?
Kwanini usimwache apate watakao mchukulia siriasi broh, maybe unamzibia ridhiki watu wanaompenda kwa moyo mmoja
Nimependa jibu lako dearKwanini upoteze muda wa mwanamke unayemchukulia kawaida wakati wapo ambao unaweza wachukulia siriasi.?
Kwanini usimwache apate watakao mchukulia siriasi broh, maybe unamzibia ridhiki watu wanaompenda kwa moyo mmoja
Ahsante sana lovely dearNimependa jibu lako dear
Kwanini upoteze muda wa mwanamke unayemchukulia kawaida wakati wapo ambao unaweza wachukulia siriasi.?
Kwanini usimwache apate watakao mchukulia siriasi broh, maybe unamzibia ridhiki watu wanaompenda kwa moyo mmoja
Duh, Mshana alikwepoView attachment 1272113
Kama unaweza kuendesha na baiskeli hakika wewe ni wife material [emoji23][emoji23]Karibuni cha mchanaView attachment 1271990
Hahaha kwann nishindweKama unaweza kuendesha na baiskeli hakika wewe ni wife material [emoji23][emoji23]
[emoji23] Kama kweli mkuu itabidi tukupeleke makumbusho ya taifa maana nahisi Tz umebaki peke yakoHahaha kwann nishindwe