Selfika na JF: Snap it. Show it

ah wapi mie hata ukija na yako hapo , nikiamua kukataa nakataa .

Ghana sio nchi nayopenda [emoji23]
wazungu wameniharibu kichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huko unapotakaa si ndo mngefanya kuhamia.
 
Mbona Kiswandu hahahaaa......
 
Pole kwa kichapo aunt
Nishasusia team mie.
Kwanza sina baya na rangi ya blue πŸ˜‚πŸ’™ Aaliyyah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…