Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,347
- 37,801
Kwan wameanza leo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna tangu 2020 tena mdada anajulikana, ndo maana wengine walikimbia hadi leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann?
Ile komenti yako Nilichekaaaa 🤣🤣🤣! Weee ni mwehu ujue ![emoji23][emoji23][emoji23] nn Daktaree?? Namuuliza huyo babee wangu km kavaa au hajavaa boxer.
Nimekumic pia babeee [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wake anasoma, atakufata PM mmalizane huko huko.Anatunza picha za humu ili iweje au ana nyege mwambie nimtumie picha yangu ya mkuyenge basi
Alisema Selfika tunatengenezewaa mafailiiiii tukijichanganyaa tyuuuu.... anaripuaaa sa sijui anaripua nini!Anatunza picha za humu ili iweje au ana nyege mwambie nimtumie picha yangu ya mkuyenge basi
Mie humu JF nna babees kibaoo, mie ni chawoteeee, au maharage ya mbeya maji mara 1.Una baby wangap mbona Gafla hvyo jaman
Youre so sweet daddyThank you baby.
You’re always the first and the last thing on this heart of mine. No matter where I go, or what I do, I’m thinking of you Tinsley.
Nimemmiss totoo jamani, sijui yuko mitaa ganiLenie leo mshamba_hachekwi kasagiwa mbege ya viazi, imemlevya balaa
Rhabhekhaaaa udugu akeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile komenti yako Nilichekaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Weee ni mwehu ujue !
Alisema Selfika tunatengenezewaa mafailiiiii tukijichanganyaa tyuuuu.... anaripuaaa sa sijui anaripua nini!
Yule Alisemaje anachukua picha za wanawake tyuuu itabidi nasie tuwe na mwakilishiii sijui ndo huyoo ulosema🏃🏻♀️🏃🏻♀️ 😊😊😊😊🤠![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wake anasoma, atakufata PM mmalizane huko huko.
Woiiiiiiih,
Alisema anachukua za wanawake eti sijui ana shida gani nasie!!Tobaaa tumekwisha labda anataka atupe uteuzi ikulu
Mie humu JF nna babees kibaoo, mie ni chawoteeee, au maharage ya mbeya maji mara 1.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alisema anachukua za wanawake eti sijui ana shida gani nasie!!
ah wapi mie hata ukija na yako hapo , nikiamua kukataa nakataa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ulikataa nn kwenda Ghana nawee dear? Mbna ulikataa fursa jomoneee sweet lol
Haters are my favorite. I’ve built an empire with the bricks they’ve thrown at me. Keep on hatingMtaachana tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu naemsema mie mbna yupo hadi hapa sahiv anasoma, lilizuka jamboo kubwaa, ilikua 2020Yule Alisemaje anachukua picha za wanawake tyuuu itabidi nasie tuwe na mwakilishiii sijui ndo huyoo ulosema[emoji2090][emoji2090] [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji1783]!
Yaan kuguswa tyuuh tayariii kitamboooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maharage ya mbeya ukiguswa imo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu naemsema mie mbna yupo hadi hapa sahiv anasoma, lilizuka jamboo kubwaa, ilikua 2020
Huyo dada ana hulka ya kiswandu, alikua anachukua picha humu anasambaza kwa wanaume. Sasa alichukuaga ya Makiwendo wakati huo akitumia Makiseo, sasa yule jamaa akamfata maki Pm na kumuonesha picha.
Ndo zagaa liliwakaa humu, muulize Anne akuambie.
Ndo kisa cha Maki, shunnie, Atoto na wengineo watimke mazimaaa humu.