Selfika na JF: Snap it. Show it

Wengi wa hivyo huwa ni kujipa matumaini fake tu, ila uhalisia wake unatisha πŸ™Œ
Hivi karibuni nimepima pima sana, kuna siku nimekaa na Dr mmoja alikuja kupima ofisi , huwa nina utani nae kapima .. kanipima akanitolea macho hivi, nilitetemeka 🀣🀣🀣 alafu akasema mbona unao huku kanikazia macho nilikuwa naongea huku natetemeka then akanionesha majibu hapo jasho limetoka tayari
 
Hahahaha..........angekuua kwa presha aisee πŸ˜…

Ukikumbuka uliuza mechi hivi karibuni ndiyo balaa zaidi πŸ€ͺ
 
Hahahaha..........angekuua kwa presha aisee πŸ˜…

Ukikumbuka uliuza mechi hivi karibuni ndiyo balaa zaidi πŸ€ͺ
kwa second kadhaa nilianza waza wapi nimeuza mechi.. wapi.. maaana mda sana sikuwa nimecheza mechi na mbaya zaidi kina staff mmoja alikuwa kawakaa maana ndio nilikuwa incharge wa team kuna vitu ilikuwa lazima nivijue.. hiyo kitu isikie tu kwa media ila isikukute πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…