Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,303
- 37,662
Windshield ina crake. Ngoja nimtonye traffic wa mbele hapo awadake [emoji23]
Kuna shangazi asiye na kitambi?Huogopi kitambi??
Ahaa umebadili kivazi π€£π€£Toka pepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa mbona jana niliona picha uko gymπKuna shangazi asiye na kitambi?
Ninacho kimejaa tele hapa
hapana mtanicheka....Usisahau picha ya ubwabwa rage in Carleen voice.
Sitacheka. Napenda wali maharage jamani ππhapana mtanicheka....
Ndio napambana kukipunguza, maana kimezidi hadi kinanilemeasasa mbona jana niliona picha uko gymπ
na mashavu juuπNdio napambana kukipunguza, maana kimezidi hadi kinanilemea
Hiyo ni aina ipi ya maharage? Nimependa wekendu wake
Ndiwoooooona mashavu juuπ
mi sijui kitu sipiki mimi πHiyo ni aina ipi ya maharage? Nimependa wekendu wake
na diet uskute unafanya.... wanawake mnajua kujitesa aisee πNdiwoooooo
Kwanza wakati wanakuchukua vipimo tu kwapa lote linaloa jasho πJasho jingii sanaa
Katika kitu hua sina mpango nacho ni dietna diet uskute unafanya.... wanawake mnajua kujitesa aisee π
wadada wengi naona wanajitesa mara whole bread... brown rice π na hawakondiKatika kitu hua sina mpango nacho ni diet
Napenda kula vizuri, napenda sanaπ₯°
So hua sijibani kwenye msosi
Wanajipa mateso tu ya bure wakati mbinguni tutapewa miili mipyawadada wengi naona wanajitesa mara whole bread... brown rice π na hawakondi
wanataka kupigiwa miluzi barabarani πWanajipa mateso tu ya bure wakati mbinguni tutapewa miili mipya